Wabara wengi hawajui kama hichi ni kisasi sijui wameumbwaje? au wanafikiria kutumia matumbo, baambie baeleze yakhe!!! Ngoja Ndejembi na yeye 2030 awakomeshe siwanataka muungano hawa na kuulinda kwa hali na mali,au sijui kugeuza Znz iwe mkoa???Nyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!
Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Unajilisha matumaini yasiyokuwepo, uchaguzi uwe halali au haram ukishafanyika na watu kuapishwa imeisha hiyo mpaka 2030 kila mtu ajipange.Awamu hii huyo kibibi chenu lazima tumshughulikie kisawasawa hadi ajiuzulu.katuharibia nchi yetu iliyokuwa nzuri kabla yake.
Huu ndio ukweli ambao watu wengi wanajizima data hawataki kuukubali.Maisha ni ya ajabu sana. Unaweza dhani nafasi ya Uraisi ukiipata, basi maisha haya wewe kila kitu umemaliza. Lakini hebu fikiria Rais anapoteza Nuru ila mcheza kamari hapo mtaani yuko zake fresh. Lissu all the time is smiling.
Binafsi huwa naamini Samia Inherently ni mtu Muungwana sana. Yule aliyeanza March 21 ndiye Samia halisi.
Bahati mbaya sana, Madaraka wakati mwingine sio kama yalivyo. Kuna interview moja, Putin anasema Marekani, Maraisi hawaongozi wao nchi, licha ya utashi wao Mzuri, ila kuna watu wako nyuma ya maamuzi.
Pengine hii hata kwetu hapa inaweza kuwa kweli.
Kama kuna jambo ambalo Rais Samia anaweza lifanya na akakumbukwa daima, ni kuacha Katiba Mpya halisi ambayo itaweka misingi bora ya kidemokrasia na kiuwajibikaji.
Najua ni jambo gumu sana, sababu maadui wake wakubwa sio Chadema, ila wako yake. Ni jambo la kufa na kupona kwake. Namuombea kwa Mungu aguswe na hilo, amlinde na alitimize.
Cc: Pascal Mayalla
Unamwambia Samia?Stress zitawaua.
Nikiona mlivyo tapakaa hapa bara mkiwa na nyumba na wengine mkiwa na nafas za RAS,DC,wakurugenz na mmetokea hukoo baharin, ila kwenu hamruhusu mtu kupata ajira wala kujenga nyumba huko kwenu Huwa inaniuma sanaNyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!
Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Kuna yule DC aliyesema wao ndio waliohusika na ushindi wa madiwani.Huu ndio ukweli ambao watu wengi wanajizima data hawataki kuukubali.
Huyo Samia si mtu mbaya kiivyo, ila jumna bovu linamuangukia kwakuwa yeye ndio mwenye mamlaka yote, lakini kuna wafanya maamuzi zaidi yake.
Hata hizo asilimia 97 za kura simini kama ni Samia alitaka apewe ushindi huo, bali ni kundi lavwajinga wenye maamuzi kwenye nchi hii ndio walifanya hiyo.
Ikiwa rais anakuwa anaamuliwa maamuzi na watu wengine basi huyo rais hafai kuwa rais na anatakiwa kujiuiuzulu.ukiwa rais lazima uwe na maamuzi yako kwa mujibu wa sheria anavyokuongoza kutenda.Huu ndio ukweli ambao watu wengi wanajizima data hawataki kuukubali.
Huyo Samia si mtu mbaya kiivyo, ila jumna bovu linamuangukia kwakuwa yeye ndio mwenye mamlaka yote, lakini kuna wafanya maamuzi zaidi yake.
Hata hizo asilimia 97 za kura simini kama ni Samia alitaka apewe ushindi huo, bali ni kundi lavwajinga wenye maamuzi kwenye nchi hii ndio walifanya hiyo.
Kwahiyo ni mwendo wa kulipiziana Tuombe UzimaNyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!
Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Na AFCON Tanzania hakuna.Jazaneni ujinga tu halafu matokeo yake mtayaona.
Mara nyingi watu na mazingira yanayokuzunguka ndio hubadilisha tabia ya mtu, ukitembea na wavuta bangi lazima utavuta. Samia hakuwa hivyo.Maisha ni ya ajabu sana. Unaweza dhani nafasi ya Uraisi ukiipata, basi maisha haya wewe kila kitu umemaliza. Lakini hebu fikiria Rais anapoteza Nuru ila mcheza kamari hapo mtaani yuko zake fresh. Lissu all the time is smiling.
Binafsi huwa naamini Samia Inherently ni mtu Muungwana sana. Yule aliyeanza March 21 ndiye Samia halisi.
Bahati mbaya sana, Madaraka wakati mwingine sio kama yalivyo. Kuna interview moja, Putin anasema Marekani, Maraisi hawaongozi wao nchi, licha ya utashi wao Mzuri, ila kuna watu wako nyuma ya maamuzi.
Pengine hii hata kwetu hapa inaweza kuwa kweli.
Kama kuna jambo ambalo Rais Samia anaweza lifanya na akakumbukwa daima, ni kuacha Katiba Mpya halisi ambayo itaweka misingi bora ya kidemokrasia na kiuwajibikaji.
Najua ni jambo gumu sana, sababu maadui wake wakubwa sio Chadema, ila wako yake. Ni jambo la kufa na kupona kwake. Namuombea kwa Mungu aguswe na hilo, amlinde na alitimize.
Cc: Pascal Mayalla
Mauaji hayakuwa ya kidini tafadhali alikuwa anapigania bao la mkono ..kaingia kwa kilazimisha kuwaongoza watu ambao hawakumtaka nuru atatoa wapiMAUAJI YA KIDINI YALIYO FANYWA NA CCM OCT29 NA MENGINEYO CHINI YA SAMIA ni ngumu kujisafisha ni lazima yatasafishwa kwa damu zao hivyo wanaishi kwa hofu kuu ....tena wana muda mchache sana ..vinginevyo Samia afanye kama Museven kujibakisha madarakani yeye na familia yake ...SAMIA KABAKISHA MIEZI 18 TU KABLA YA YEYE NA WAHALIFU WENZIE KUANZA KUCHANGANYIKIWA KWA HOFU NA MISUKOSUKO INAYE KWENDA KUWAKUTA NA KWA SABABU HIYO UENDA WAKALAZIMIKA KUJARIBU KUZIDI KUMWAGA DAMU ZAIDI ILI KUJINUSURU
Yaani mi kila wakati nachunguliaga millard àyo nikute kaandika TÀNZIA: binti flani bin flan hatunaye ni basi tu yaaniKila mtu anamuombea mabaya bibi yule!
Watu kama wewe ukitandikwa risasi ni sawa kabisa.Na AFCON Tanzania hakuna.
Kweli, ndio maana nimesema Samia hakuwa hivyo mwanzo.Unajilisha matumaini yasiyokuwepo, uchaguzi uwe halali au haram ukishafanyika na watu kuapishwa imeisha hiyo mpaka 2030 kila mtu ajipange.
Kwa sasa adui wa mama siyo upinzani, akili zao zote zipo kwenye uchaguzi wao wa ndani mwakani 2027 ndio makundi ya wasaka Urais na wanaotaka kuendelea na network ya kizimkazi wawrke mtu wwo ndio kwenye vita kubwa.
Huku mnachamba mdomo tu debe tupu.
Wewe kila siku unahangaika kufuatilia leo nimeandika nini kwani mi mmeo.Ushapanic!
Hivi hapo ulipo unahaha mwenyewe kutafuta taarifa za Samia.
Ukikosa hapo unaenda kimataifa kutaftiza Jumuia ya kimaifa ipi imesema vibaya kuhusu Tz.
Ukikosa unaanzisha tu kathread 'leo Samia kachelewa kuamka'.
Mimi binafsi nilikuwa nipo nyumbani Kwa baba yangu (Nilipozaliwa na hio siku watu wanapiga kura na kuandamana). Lakini pia siku hio ndugu yangu (wakiume) alikufa kwenye hizo vurugu. Na uchungu nnao pia.Kwani mauaji ya Rwanda yanavyo itwa mauaji ka kibabila waliokufa ni wakabila moja ‽ tumia akili wacha kutumia kijambio kufikili..wewe unadhani hiyo oct29 kwa sababu gani Risasi za moto tu ndiyo zilitumika hakuna risasi za plastiki zilizo tumika tofauti na kanuni za kutuliza gasia ... kanuni za kutuliza gasia zinaeleza kuwa njia salama zinatakiwa kutumika kwanza kabla ya kutumia njia hatari pale tu njia salama zinapo zidiwa nguvu ..ila oct29 ni RISASI ZA MOTO TU NDIYO ZILITUMIKA.
Hutaki kufatiliwa utoke.Wewe kila siku unahangaika kufuatilia leo nimeandika nini kwani mi mmeo.
Aliwauwa ndugu zetu hapo October 29. Akisha yye na mwaandani wake kikwete wakakimbilia kambi ya kijesh ngerengere. Aongee nn samiaSamia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.
Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.
Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.
Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.
Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.
Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare Watanzania tumefichwa.
Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Atakufa kifo cha mateso makali sana.Kila mtu anamuombea mabaya bibi yule!