Umeelewa lakini kwanini nimeandika haya?.Unajua Kuna watu wameuliwa majumbani mwao unataka kuniambia ni taadhari ya aina gani hiyo unamfuata mtu nyumbani kama hakukuwa na dhamira hiyo? Kuna wengine ni watoto, wazee na wa mama wameuliwa ni kundi ambalo ni dhaifu hawana madhara yoyote ya kusema wazuru polisi ndio maana tunasema ni mauaji yaliopangwa. Kuna baadhi waliohusika na kuandamana walikamatwa vipi polisi waliohusika na kujua raia wema wamewajibishwaje umewahi kujiuliza hivyo?
Ya Mungu mengiAkisafiri mnasema hatulii kutwa kiguu na njia! Akifungua mdomo kuongea mnasema anaongea pumba, Sasa mnatakaje nyie Waja wa Mungu? Nchimbi keshaukosa Urais make tu kwa kutulia,Tena mlivyo mafala mmemponza Nchimbi,kutwa humu mlikuwa mnampa kichwa mara sijui ana ulinzi wa kibabe hakuna wakumgusa,mara sijui mzalendo wa wa kweli wakijaribu kumgosa kanisa litapitanao!
Keshapotea mazima kwenye Ramani ya kisiasa mwenzenu.....
Kama angekuwa wa kuguswa na hilo,angeguswa nalo kabla ya yale mauajiMaisha ni ya ajabu sana. Unaweza dhani nafasi ya Uraisi ukiipata, basi maisha haya wewe kila kitu umemaliza. Lakini hebu fikiria Rais anapoteza Nuru ila mcheza kamari hapo mtaani yuko zake fresh. Lissu all the time is smiling.
Binafsi huwa naamini Samia Inherently ni mtu Muungwana sana. Yule aliyeanza March 21 ndiye Samia halisi.
Bahati mbaya sana, Madaraka wakati mwingine sio kama yalivyo. Kuna interview moja, Putin anasema Marekani, Maraisi hawaongozi wao nchi, licha ya utashi wao Mzuri, ila kuna watu wako nyuma ya maamuzi.
Pengine hii hata kwetu hapa inaweza kuwa kweli.
Kama kuna jambo ambalo Rais Samia anaweza lifanya na akakumbukwa daima, ni kuacha Katiba Mpya halisi ambayo itaweka misingi bora ya kidemokrasia na kiuwajibikaji.
Najua ni jambo gumu sana, sababu maadui wake wakubwa sio Chadema, ila wako yake. Ni jambo la kufa na kupona kwake. Namuombea kwa Mungu aguswe na hilo, amlinde na alitimize.
Cc: Pascal Mayalla
Sisi hatuna Mamlaka na muda wake bali Mungu.Tumpe muda, i think ni majonzi mengi yanayomkabiri kuanzia vifo vya watu 518 kwa mujibu wa report ya tume ya jaji chande, Kifo cha rafiki yake aliekuwa mbunge, kifo cha mume wake, kifo cha rafiki mfanyabiashara or anything else "Chivayo". Kwa kweli yuko na majonzi sana Tumpe muda wa kutosha.
💯Mikono yake inavuja damu za Watanganyika.
Shetani hawezi kukupa ushindi wa kudumu, anakuhadaa na ushindi au mafanikio ya muda mfupi, lakini baadaye ni lazima akuangushe, na ukionfoka ulimwenguni ukaishie jehanamu ya milele.
Angeupokeaga ushauri wa ndugu yake wa damu, Dr Ummy kuwa asigombee 2025, atajijengea heshima kubwa, leo asingekuwa anajuta. Lakini shetani akiwa amemwingia, aliukataa ushauri, na kumchukia Ummy, kumwonfoa kwenye uwaziri, na kulikata jina lake kwenye ubunge. Baada ya hali kuwa mbaya, karudi kumkaribia Ummy, na kumteua eti kuwa mshauri wake, wakati mambo yamiwa yameharibika kabisa.
Wenye damu za Watanganyika mikononi mwao, kamwe hawatakuja kuwa na amani mioyoni mwao, na laana itawafuata wao binafsi na vizazi vyao.
Kwahiyo ya MSIBA ni ya kibinafsi au siyo? Basi Sawa.Of course zipo safari Rasmi na za kibinafsi !
Hakukuwa sahihi kuwaua wahalifu. Magari ya washawasha waliyaweka wapi?Watu kama wewe ukitandikwa risasi ni sawa kabisa.
Hata october 29 kuna Wahalifu kama wewe kuuwawa ilikuwa ni sahihi.
One thing mtego Chadema inapaswa kuuepuka ni kundi la wahalifu kutaka kutimiza uhalifu na hujuma kwa kisingizio cha siasa.
Mimi siipendi kabisa ccm lakini siwezi kutetea wahalifu na wahujumu uchumi wa miundombinu yetu.
Unachoma moto vituo vya mwendokasi kuna waziri gani au mbunge gani anatumia hiyo huduma kama siyo unawahujumu maskini wenzako?
Sidhani kama kuna siku inapita hamjafikiria Lissu wala October 29. Sasa hawezi kuwa na raha hata kidogo.Kadiri siku zinavyozidi sogea ndivyo samia anazidi kupotea. Ana hali mbaya sana. Na alivyo na kiburi ndivyo anazidi kuongeza upinzani.
Mafwele na Nchimbi ni waislam!?? Acha udini bro huo ni USENGE ambao unaleta. Yale mauaji yaliyofanyika viongozi wa CCM wakristo walishiriki na makamanda wa jeshi la polisi wengi wakristo ambao ndio walitoa amri. Mauaji yalikua ya watu wenye uchu wa madaraka wa dini zote sio uislam tu. Punguzaga usenge usiwe kama wanakukata mtoto wa kiume unazingua. Udini haukufikishi popote **** wewe.MAUAJI YA KIDINI YALIYO FANYWA NA CCM OCT29 NA MENGINEYO CHINI YA SAMIA ni ngumu kujisafisha ni lazima yatasafishwa kwa damu zao hivyo wanaishi kwa hofu kuu ....tena wana muda mchache sana ..vinginevyo Samia afanye kama Museven kujibakisha madarakani yeye na familia yake ...SAMIA KABAKISHA MIEZI 18 TU KABLA YA YEYE NA WAHALIFU WENZIE KUANZA KUCHANGANYIKIWA KWA HOFU NA MISUKOSUKO INAYE KWENDA KUWAKUTA NA KWA SABABU HIYO UENDA WAKALAZIMIKA KUJARIBU KUZIDI KUMWAGA DAMU ZAIDI ILI KUJINUSURU
Asante Kwa kumjibu Kwa busara sana nazani ningemjibu Mimi ningekula ban.Mafwele na Nchimbi ni waislam!?? Acha udini bro huo ni USENGE ambao unaleta. Yale mauaji yaliyofanyika viongozi wa CCM wakristo walishiriki na makamanda wa jeshi la polisi wengi wakristo ambao ndio walitoa amri. Mauaji yalikua ya watu wenye uchu wa madaraka wa dini zote sio uislam tu. Punguzaga usenge usiwe kama wanakukata mtoto wa kiume unazingua. Udini haukufikishi popote **** wewe.
Wee mzee punguza ujingaAkisafiri mnasema hatulii kutwa kiguu na njia! Akifungua mdomo kuongea mnasema anaongea pumba, Sasa mnatakaje nyie Waja wa Mungu? Nchimbi keshaukosa Urais make tu kwa kutulia,Tena mlivyo mafala mmemponza Nchimbi,kutwa humu mlikuwa mnampa kichwa mara sijui ana ulinzi wa kibabe hakuna wakumgusa,mara sijui mzalendo wa wa kweli wakijaribu kumgosa kanisa litapitanao!
Keshapotea mazima kwenye Ramani ya kisiasa mwenzenu.....
Ukishamwaga damu ya mtu basi kila kitu kinabadilika, ni kweli kaelemewa na giza la damu za watu wengi wasio na hatia.Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.
Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.
Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.
Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.
Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.
Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare Watanzania tumefichwa.
Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Huyo jamaa ana udini sana fuatilia post zake zote lazima atahusisha udini. Hiyo sio kitu kizuri kijamii.Asante Kwa kumjibu Kwa busara sana nazani ningemjibu Mimi ningekula ban.
Command tumia akili .... sasa hivi kikundi kivu cha waislamu waliopo serikalini wanarazimisha hadi wakristo kusema uovu na kutenda uovu....lengo la kufanya hivyo ni kujalibu kuficha udini...Mafwele na Nchimbi ni waislam!?? Acha udini bro huo ni USENGE ambao unaleta. Yale mauaji yaliyofanyika viongozi wa CCM wakristo walishiriki na makamanda wa jeshi la polisi wengi wakristo ambao ndio walitoa amri. Mauaji yalikua ya watu wenye uchu wa madaraka wa dini zote sio uislam tu. Punguzaga usenge usiwe kama wanakukata mtoto wa kiume unazingua. Udini haukufikishi popote **** wewe.
Usitufanye sisi watoto bana. Mauaji yalifanyika wakati wa Mkapa na wala hayafikii haya ya Oktoba 29 2025. Kuanzia 2005 mauaji gani Zanzibar yalifanyika makubwa kama ya 2025 Oktoba!? Na mauaji yaliyofanyika Zenji wazenji wenzenu kina Karume walishiriki kwa kutaka kubaki madarakani. Hivyo usilete ufala wa Uzanzibar na Ubara hapa. Adui ni CCM awe Mbara au Mzenji hiyo haijalishi.Nyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!
Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Nenda kafirwe mbele uko niondolee ujinga hapa wa kikatoliki. Mwigulu Nchemba ni muislam!?? Nakusisitiza punguza ufala haukufai mtoto wa kiume.Command tumia akili .... sasa hivi kikundi kivu cha waislamu waliopo serikalini wanarazimisha hadi wakristo kusema uovu na kutenda uovu....lengo la kufanya hivyo ni kujalibu kuficha udini...