Mauaji ya Ally Mohamed Kibao hayajafanywa na taasisi zenye weledi, ni genge la watu tu ambao ni wahuni

Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
kwani waliompiga tundu lisu utasema nao walikuwa na weledi? walikuwa raia wa kawaida? just think beyond your box.
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane

Inawezekana mahasimu wanaogombania madaraka. Maana uchaguzi unakaribia. Wanachafuana
 
Kuna mpasuko mkubwa chamani, kama hujui kuna watu wachama wananguvu na ushawishi huko kwenye majeshi na wanayatumia kufanya huu uovu.

Kudeal na hilo kundi sio kazi ndogo kama unavyofikiria, kumbuka hilo kundi ndio lilizamisha lile jiwe kubwa mtoni, hili kundi sio la mchezo wakiamua jambo.

Hata mimi zamani nilikuwa nafikiria kama wewe kwamba ukishakuwa pale juu wewe ndio kilakitu, kumbe kuna njemba zikiamua kukuyumbisha unayumba na hata kudondoka kabisa

Chama gani hakina mpasuko? Nionyeshe kimoja ili nikuonyeshe kadhaa. Kuhama chama kwa wanachama mbona game la toka enzi na enzi na hakuna jipya?

Kuuana sababu ya siasa ngo kunakera na kitu kimeanza hivi karibuni
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Kama Yale ya 2017 pale area D Dodoma Kwa ATL.alipigwa Marisa's mchana kweupe pia yalikua yameratibiwa na hao " professional assasn"??
 
Huwezi weka weledi na mauaji sehemu moja. Hatuna muhimili wenye waledi
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Huijui jeuri ya chama wewe.
 
Hata sisi wa kawaida tunaona kuwa kundi hilo ni adui wa nchi wenye nia ya kuleta fujo.
Kwanini wamfuate kwenye gari na sio nyumbani kwake.
Akifuatwa nyumbani na kuuawa inakua ni sahihi sio kwenye basi haifai au sio? Kwa hiyo ccm watu mnaowaua Huwa mnawafuata nyumbani au sio Mzee baba?
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Na ndio lengo lao kuwapoteza
 
Ya ulimboka?? Mbona ilikuwa official kwa maslahi ya nchi, lakini iliachwa alama!!!

Kamanda Alfonsy Mawazo
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Maneno yako yatakuwa na maana tu kama jeshi la polisi litawakamata na kuwafikisha mahakamani wauaji hao,vinginevyo tutaendelea kuamini kuwa mauaji haya ni kazi ya vyombo vya dola katika kuilinda CCM iendelee kubaki madarakani
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Kwahiyo no kifo gani ambacho kilifanywa professional hapa nchini!!?

Imran kombe alipigwa risasi kienyeji sana na alikua DG!!?Tundu lisu!!?

Tuambie ipi kati ya hayo no professional!!?
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Aina ya kyuma nyinginé hii
 
Peter Msigwa ulaaniwe kwa kumchongea Mzee Kibao hadi akauwawa kikatili vile,Peter Msigwa hutakaa upate amani ya moyo kwa usaliti huu,utapitia mateso kuliko aliyopitia Mzee Kibao,ulaaniwe uingiapo ulaaniwe utokapo wewe na uzao wako.
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Hata Tundu Lissu alipopigwa risasi kulikuwa na kauli kama hizi. 'Self-deceptive rationalisation' huwa ni njia tu ya kufanya tatizo lisionekane tatizo au ambalo si tatizo lionekane ni tatizo. Kuna kanuni moja tu ya kutumia katika utoaji wa hoja: kama huna hakika ya jambo fulani 'suspend judgement' na kama you make any claim, justify it.
 
Back
Top Bottom