Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kwani waliompiga tundu lisu utasema nao walikuwa na weledi? walikuwa raia wa kawaida? just think beyond your box.Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane