Hata Mimi ambaye sina mamlka hata elimu ya Sheria nashangaa kuhusiana na hili swala mkuu...Hii inaonekana ni kesi ambayo adui wa marehemu wanajulikana waziwazi. Polisi wanafanya nini kuwakamata hao washukiwa kabla hawajaharibu ushahidi?
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412Namba 3
Irudie maradona alisema marehemu arudishwe kutoka wapi ,nasababu ilikua nn bibi kuondolewa kabla ya kurudishwa na akauwawa wakati maradona alihakikishia usalama wa marehemu
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412Kisa chako kinaacha maswali yasiyojibika, chanzo cha ugomvi ni nini? Kwanini mpaka diwani kaingia kwenye mgogoro na hii familia? Kwanini mpaka polisi wanachelewa kwenye eneo la tukio? Toa maelezo kuhusu hii familia.
Mkuu nchi imekuwa ngumu hii. Hata mwenye nchi hajawahi kufika mwanga anaogopa lipstick 💄 itapata vumbiJamani wenye mamlaka isaidieni hii familia jamani! Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
Musoma sio shinyangaNa pia rekebisha kichwa cha habari,hayo si mauaji ya kutisha,mauaji ya Kanyanabo kama sikosei yalitokea Shinyanga ndio yalikuwa hatari maana mpaka vitoto vidogo vilipigwa mapanga kama sehemu ya kulipiza kisasi,tafuta kuna Uzi humu unaoelezea yale mauaji
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kaficha na hawezi kusema sababu ina elekea ni tuhuma za uchawi huko Mwanga ni kumebobea mambo hayo .Marehemu alipelekwa wapi alikotakiwa arudishwe, diwani anasema atahakikisha usalama wake, maana yake aliondoka sababu hakuna usalama, nani alietishia usalama wake, mtoto wake unadai anatishwa, kafanya nini hadi atishiwe, kwa nini unadhani polisi wako kinyume na marehemu?
Mtoa mada umeficha vitu vingi kuhusu familia ya maeehemu ambavyo vingetuongezea uelewa wa tukio
Binaadamu kuchinjwa kama kuku ni mauaji ya kutisha,two wrongs cant make one rightNa pia rekebisha kichwa cha habari,hayo si mauaji ya kutisha,mauaji ya Kanyanabo kama sikosei yalitokea Shinyanga ndio yalikuwa hatari maana mpaka vitoto vidogo vilipigwa mapanga kama sehemu ya kulipiza kisasi,tafuta kuna Uzi humu unaoelezea yale mauaji
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Nadhan ni swali la msingiMkuu naomba kujua chanzo cha ugomvi unaosababisha mauaji.
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412Weka namba hapa mkuu
I concur with you Mkuu. Just imagine, despite the fact that have shared the numbers here, no one has just even dare to call the victims🤔Kama huna fedha, huwezi kupata haki polisi,polisi wanafatilia zile kesi Ambazo ni high profile, hizi, za kina nzengo, pangu pakavu! Wala hawajisumbuhi,
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412Nadhan ni swali la msingi