Mauaji ya kutisha yafanyika Wilayani Mwanga. Rais tafadhali ingilia kati uisaidie hii familia

Mauaji ya kutisha yafanyika Wilayani Mwanga. Rais tafadhali ingilia kati uisaidie hii familia

Hii inaonekana ni kesi ambayo adui wa marehemu wanajulikana waziwazi. Polisi wanafanya nini kuwakamata hao washukiwa kabla hawajaharibu ushahidi?
Hata Mimi ambaye sina mamlka hata elimu ya Sheria nashangaa kuhusiana na hili swala mkuu...
 
Namba 3
Irudie maradona alisema marehemu arudishwe kutoka wapi ,nasababu ilikua nn bibi kuondolewa kabla ya kurudishwa na akauwawa wakati maradona alihakikishia usalama wa marehemu
 
Namba 3
Irudie maradona alisema marehemu arudishwe kutoka wapi ,nasababu ilikua nn bibi kuondolewa kabla ya kurudishwa na akauwawa wakati maradona alihakikishia usalama wa marehemu
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Jamani wenye mamlaka isaidieni hii familia jamani! Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Kisa chako kinaacha maswali yasiyojibika, chanzo cha ugomvi ni nini? Kwanini mpaka diwani kaingia kwenye mgogoro na hii familia? Kwanini mpaka polisi wanachelewa kwenye eneo la tukio? Toa maelezo kuhusu hii familia.
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Kama ni issue ya 'UCHAWI' GL hamna namna Acha auwawe tyu. Wachawi wanatusumbua sana.
 
Jamani wenye mamlaka isaidieni hii familia jamani! Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
Mkuu nchi imekuwa ngumu hii. Hata mwenye nchi hajawahi kufika mwanga anaogopa lipstick 💄 itapata vumbi
 
DC wa Mwanga ni Abdallah Mwaipaya nadhani yumo humu jf.Atufafanulie kidogo.
 
Na pia rekebisha kichwa cha habari,hayo si mauaji ya kutisha,mauaji ya Kanyanabo kama sikosei yalitokea Shinyanga ndio yalikuwa hatari maana mpaka vitoto vidogo vilipigwa mapanga kama sehemu ya kulipiza kisasi,tafuta kuna Uzi humu unaoelezea yale mauaji
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Musoma sio shinyanga
 
Marehemu alipelekwa wapi alikotakiwa arudishwe, diwani anasema atahakikisha usalama wake, maana yake aliondoka sababu hakuna usalama, nani alietishia usalama wake, mtoto wake unadai anatishwa, kafanya nini hadi atishiwe, kwa nini unadhani polisi wako kinyume na marehemu?

Mtoa mada umeficha vitu vingi kuhusu familia ya maeehemu ambavyo vingetuongezea uelewa wa tukio
Kaficha na hawezi kusema sababu ina elekea ni tuhuma za uchawi huko Mwanga ni kumebobea mambo hayo .
 
Na pia rekebisha kichwa cha habari,hayo si mauaji ya kutisha,mauaji ya Kanyanabo kama sikosei yalitokea Shinyanga ndio yalikuwa hatari maana mpaka vitoto vidogo vilipigwa mapanga kama sehemu ya kulipiza kisasi,tafuta kuna Uzi humu unaoelezea yale mauaji
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Binaadamu kuchinjwa kama kuku ni mauaji ya kutisha,two wrongs cant make one right
 
Kama huna fedha, huwezi kupata haki polisi,polisi wanafatilia zile kesi Ambazo ni high profile, hizi, za kina nzengo, pangu pakavu! Wala hawajisumbuhi,
 
Kama huna fedha, huwezi kupata haki polisi,polisi wanafatilia zile kesi Ambazo ni high profile, hizi, za kina nzengo, pangu pakavu! Wala hawajisumbuhi,
I concur with you Mkuu. Just imagine, despite the fact that have shared the numbers here, no one has just even dare to call the victims🤔
 
Back
Top Bottom