- Thread starter
- #41
Hata Mimi ambaye sina mamlka hata elimu ya Sheria nashangaa kuhusiana na hili swala mkuu...Hii inaonekana ni kesi ambayo adui wa marehemu wanajulikana waziwazi. Polisi wanafanya nini kuwakamata hao washukiwa kabla hawajaharibu ushahidi?