Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya kisutu jijini Dar es Salaam.

Nawasalimu kwa jina la JMT.

My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
kwa mujibu wa MATAGA na SIRRO hayo ni maaandamano.
Kwa mujibu wa Katiba , hiyo ni haki ya mtuhumiwa kuwakilishwa mahakamani bila kujali idadi, MATAGA
 
..Mbowe hatafikishwa mahakamani na sababu itakuwa ni corona.
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Nawasalimu kwa jina la JMT.

My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
Maandamano ya kisomi na kisheria ni maandamano ya kipekee zaidi kuwahi kutokea duniani! Mbowe aachiwe mara moja!
 
Haaaaa 386, lazima haya ni maandamano in the name of mawakili, sasa hao advocates wakija wengi hivyo wanaandamana tunapiga fimbo wote alafu na kuwakamata na kuwafungulia mashtaka kwanini wanaandamana bila ruhusa.. Haa haaa wanajitafutia kesi mpya wenyewe ha haaa. Ngoja tuone 😂😂😂
 
..Mbowe hatafikishwa mahakamani na sababu itakuwa ni corona.
Jaji incharge katoa mwongozo, kesho itakuwa video conferencing, ili BBC n al jazeera wakose cha kuonyesha, maana watu wengi wangejitokeza kuhuzunishwa na hizi hatua za kifashisti zinazoendelea dhidi ya wa-kaskazini.
 
Chama kinajiingiza kwenye matatizo na serikali yasiyo ya lazima. Mbowe ana haki ya kuwakilishwa na tayari ana wakili sasa huu uhuni unaofanyika sasa hivi ni suala la muda kabla serikali haijakibana.
Kwani kikibanwa wewe utapungukiwa nini personally ?
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Nawasalimu kwa jina la JMT.

My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
Watapigwa stop hayo ni maandamano kichadema.
 
Jaji incharge katoa mwongozo, kesho itakuwa video conferencing, ili BBC n al jazeera wakose cha kuonyesha, maana watu wengi wangejitokeza kuhuzunishwa na hizi hatua za kifashisti zinazoendelea dhidi ya wa-kaskazini.
Huo muongozo uko wapi ?
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Nawasalimu kwa jina la JMT.

My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
Na IGP Sirro ameshakataza maandamano.
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Nawasalimu kwa jina la JMT.

My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
acha kuchafua kada ya wanasheria, ni tasnia takatifu, usitufananishe na huo upuuzi wa kisiasa.
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Nawasalimu kwa jina la JMT.

My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
Waupande wa serikali sijui watakuwa wangapi,hivi yule wankyo simon bado yupogo
 
Ni nani atakae waruhusu mawakili zaidi ya 300 kuingia mahakamani? Pia kama kweli anahusika na mashitaka waliyomfungulia basi hata wakiruhusiwa mawakili 1000 kumtetea haitosaidia. Waswahili wanasema "Siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza"
Na anaweza kufa kwa kuteleza kwenye mti Nyani yeyote, awe mtunga kesi au mtungiwa kesi!
 
"kutokakana na uwepo wa janga la corona mahakama imeruhusu jumla ya watu wasiozidi kumi na tano kutoka pande zote mbili, kuhudhulia kesi unayomkabili Mh. Mbowe, 5/8/2021" Jaji

Corona!! Corona!!! Corona!!!....... [emoji23][emoji23][emoji23]

Hiyo Corona iondoke na DPP na huyo Jaji ndo tuendelee na kesi
 
Back
Top Bottom