Muikizu muelewa
Member
- Jul 28, 2021
- 35
- 31
Hiyo kesi nasikia itakuwa live tbcHayo ni maandamano ... IGP Siro kapigwa chenga hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kesi nasikia itakuwa live tbcHayo ni maandamano ... IGP Siro kapigwa chenga hapo
kwa mujibu wa MATAGA na SIRRO hayo ni maaandamano.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
Maandamano ya kisomi na kisheria ni maandamano ya kipekee zaidi kuwahi kutokea duniani! Mbowe aachiwe mara moja!Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
Corona imefanyaje mbona Ole sabaya anafikishwa kila siku?..Mbowe hatafikishwa mahakamani na sababu itakuwa ni corona.
Jaji incharge katoa mwongozo, kesho itakuwa video conferencing, ili BBC n al jazeera wakose cha kuonyesha, maana watu wengi wangejitokeza kuhuzunishwa na hizi hatua za kifashisti zinazoendelea dhidi ya wa-kaskazini...Mbowe hatafikishwa mahakamani na sababu itakuwa ni corona.
Kwani kikibanwa wewe utapungukiwa nini personally ?Chama kinajiingiza kwenye matatizo na serikali yasiyo ya lazima. Mbowe ana haki ya kuwakilishwa na tayari ana wakili sasa huu uhuni unaofanyika sasa hivi ni suala la muda kabla serikali haijakibana.
Watapigwa stop hayo ni maandamano kichadema.Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
Swali gumu hili mzee.Kwani kikibanwa wewe utapungukiwa nini personally ?
Kuprove kesi ni jambo lingine mkuuYaani mawakili wote hao halafu wakute hawana hoja ya kupangua kwenye mashtaka yaani watarudi wananuka mavi maana watajinyea huko mahakamani
Ugumu wake uko wapi?Swali gumu hili mzee.
Kwanini serikali ikibane chama ?Kwani kikibanwa wewe utapungukiwa nini personally ?
Huo muongozo uko wapi ?Jaji incharge katoa mwongozo, kesho itakuwa video conferencing, ili BBC n al jazeera wakose cha kuonyesha, maana watu wengi wangejitokeza kuhuzunishwa na hizi hatua za kifashisti zinazoendelea dhidi ya wa-kaskazini.
Na IGP Sirro ameshakataza maandamano.Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
acha kuchafua kada ya wanasheria, ni tasnia takatifu, usitufananishe na huo upuuzi wa kisiasa.Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
Waupande wa serikali sijui watakuwa wangapi,hivi yule wankyo simon bado yupogoMjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo maandamano kweli?
chadema ni watu wa haki kwahiyo hawaachana na TLSTLS ni kama imetekwa na Chadema.
Na anaweza kufa kwa kuteleza kwenye mti Nyani yeyote, awe mtunga kesi au mtungiwa kesi!Ni nani atakae waruhusu mawakili zaidi ya 300 kuingia mahakamani? Pia kama kweli anahusika na mashitaka waliyomfungulia basi hata wakiruhusiwa mawakili 1000 kumtetea haitosaidia. Waswahili wanasema "Siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza"
"kutokakana na uwepo wa janga la corona mahakama imeruhusu jumla ya watu wasiozidi kumi na tano kutoka pande zote mbili, kuhudhulia kesi unayomkabili Mh. Mbowe, 5/8/2021" Jaji
Corona!! Corona!!! Corona!!!....... [emoji23][emoji23][emoji23]