Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,946
- 4,592
Nawaza, inamaana sasa kesi imehamia kwenye ishu ya mashaidi wa siri au sio wa Siri. Mh, Tuonane november
Hahaha aisee watz hado sana. Hii kesi ni kuwaachia wafanye wanavyotaka. Hapa tumwachie Mungu tuYani wameshuopalia hao mashahidi wa uongo mpaka basi. Mahakama ya rufaa ifanye jambo.
Nashangaa tu hawajifunziNdugai alikua na kibure kikuu alipokalia kiti pale lakini leo hii yuko wapi? Hivyo wajifunze swala la Haki ni muda tu ukifika watazililia nafsi zao nakutubu kwakusema walikua wakifuata maelekezo na haitawasaidia kwakua Mungu wa Haki halali anatazama na atatoa Hukumu za Haki kulingana na makosa yao wanayotenda leo
Misaada ya wazungu inaenda kukoma baada ya uchaguzi.....Leo mama anaona Raha anachofanya Kwa wenzake ila baada ya uchaguzi atapata shida Sana kuongoza nchi
Toa mbinu achomoke,Lissu naye akili zake na chadema ni finyu sana ....kesi simple sana hiyo .
Aache kesi iendeshwe upande mmojaToa mbinu achomoke,
Mamluki wote wamefahamikaAccording to the Affidavit sworn by ACP AMIN MAHAMBA, during the investigation, he received information from the intended prosecution witnesses that the Respondent's associates are planning to obstruct the proceedings of PINo. 202504102000008607 by causing bodily harm to them, to force them to refuse to cooperate with the Republic to testify in Court during the trial
kuna watu wameshapangwa kusema uongo
Si umesema kesi ni simple,toa possible defensesAache kesi iendeshwe upande mmoja
Lissu aache kujibizana na serikali... Awaambie wafanye chochote wanachohisi ni sahihi!Lissu hana wakili, anajitetea mwenyewe
Case haipo na wewe unajua!Si umesema kesi ni simple,toa possible defenses
Alijiandalia nini wewe tako? Waislamu hamnaga akili kabisaNadhani alijiandalia mwenyewe
Baada ya harambee wanaweka matanga mahali... SubiriMisaada ya wazungu inaenda kukoma baada ya uchaguzi.....Leo mama anaona Raha anachofanya Kwa wenzake ila baada ya uchaguzi atapata shida Sana kuongoza nchi
LISSU ANATAKIWA KUSUSIA KESI KWA KUTO KUJITETEA ..HII NDIYO KETE SAHIHI YA KUSUKUMA ....SITAKI KUTOA MAELEZO ZAIDI KWA NINI ?Si umesema kesi ni simple,toa possible defenses
- hoja yako, umeitoa kwenye kifungu gani Cha Sheria ya ushahidi?LISSU ANATAKIWA KUSUSIA KESI KWA KUTO KUJITETEA ..HII NDIYO KETE SAHIHI YA KUSUKUMA ....SITAKI KUTOA MAELEZO ZAIDI KWA NINI ?
CHADEMA AMNA AKILI NANI KAKUDANGANYA KUWA KIFUNGU CHA SHERIA NDIYO HAKI AU NDIYO AKILI...SHERIA NA HAKI NI VITU VIWILI TOFAUTI KABISA ...TENA HIZI SHERIA ZA KIPUMBAVU ZILIZO TUNGWA NA WAPUMBAVU WA CCM NA BUNGE LA WAPUMBAVU NDIYO MNAZO ZITUMAINIA ....HAKUNA KETE ZAIDI YA HIYO ...LISSU ANATAKIWA KUIKATAA KESI MAHAKAMA NA KUGOMEA KUJITETEA ...- hoja yako, umeitoa kwenye kifungu gani Cha Sheria ya ushahidi?