CHADEMA AMNA AKILI NANI KAKUDANGANYA KUWA KIFUNGU CHA SHERIA NDIYO HAKI AU NDIYO AKILI...SHERIA NA HAKI NI VITU VIWILI TOFAUTI KABISA ...TENA HIZI SHERIA ZA KIPUMBAVU ZILIZO TUNGWA NA WAPUMBAVU WA CCM NA BUNGE LA WAPUMBAVU NDIYO MNAZO ZITUMAINIA ....HAKUNA KETE ZAIDI YA HIYO ...LISSU ANATAKIWA KUIKATAA KESI MAHAKAMA NA KUGOMEA KUJITETEA ...
- Jibu hoja jinga wewe.
- ikitokea Lissu amegoma kujitetea kesi itaendelea kama kawaida,
- Ukigoma kujitetea kama kuna kidhibiti kinatolewa ukakataa kukipinga kinaingizwa kwenye records za mahakama na huwezi kukipinga tena wakati wa rufaa.
- Kushindwa/ kukataa kumuhoji maswali shahidi wa jamhuri maana yake umekubaliana na ushahidi wake