Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

Niwe mkweli, amenifundisha miaka 4, sikusikia kitu hicho..... Prof Gaspar Ndaalio...alikuwa Mchaga. RIP my Prof!
Kwahiyo ina maana aunts zetu walituongopea?
Ninyi kipindi chenu pale Mlimani ilikuwa kawaida kwa wanaume kunyanyasa wanawake kijinsia. Binti ananyanyaswa kuanzia na lecturers hadi wanafunzi wenzake, akizidi ubishi anamaliziwa kabisa na MZEE PUNCH. Kumbuka suala la dada Levina Mukasa aliyejiua kwa sababu hiyo mwaka 1990.
 
Kongole kwa jaffo
 
Sijatumia povu wala sijatetea. Nimekosoa watu wenye tabia ya kubeza mafanikio ya wenzao, na nikatoa ushauri.
Sawa ndugu. Lakini hakuna aliyebeza PhD hiyo ya Mhe Jafo kwenye jukwaa hili. Uliyemtaja aliibeza kwenye jukwaa lingine, ungemjibu huko huko. Kulileta huku ni kama wewe sasa unaeneza taarifa zake hizo za kubeza na kutufanya wengi sasa tujue kuwa kuna mtu amembeza Waziri wetu. Mengine unapiga tu kimya ndugu yangu. Wanasema ukifukuza kila mbwa anayekubwekea njiani, hautafika kwenye safari yako. Hivyo achana na maneo ya binadamu, tusonge mbele. Kuna African proverb moja inasema 'the barking of a dog does not disturb the man on a camel'
 
U-doctor upo mwingi tu, tujuze yeye anakuwa dokta wa nini?
 

Kwani jafo alizaliwa na hivyo vya kuhonga? Si alitafuta!? Na nyie tafuteni pesa buana acheni kulalamika
Tena malalamiko ya maneno yasiyo na uthibitsho
 
Natamani nitapate mtu wa ku"review" Thesis/Dissertation yako kama ipo.
 
Hizi PhD za siku hizi 90% ni za mwendokasi tu hazina quality,PhD za miaka ya 1960s-1990s ndio hasa za uhalisia.

Ni udhalilishaji wa elimu yetu ,ilianza PhD ya Magu,Mwigulu ...sasa na huyu,soon babu Tale na Kibajaji nao watapata,ni fashion!
 
Sasa unaambiwa kazi yenyewe aliyoiwasilisha ameikopi toka kwa mtu wa Kenya aliyefanyia utafiti wake huko Garisa, Kenya.
 
Ni vigumu sana kutetea thesis ya kuandikiwa ama kufanyiwa research bila kujali level ya IQ ya mtu labda committe iwe weak kiasi cha kutosha!
We jamaa, watu wanapewa wanaiimba kama sala ya baba yetu
 
Nina ushahidi wa kutosha kwamba hiyo kazi alifanya mtu huko Kenya wilaya ya Garisa. Naona kanunua na kubadilisha tu majina, yale ya Kenya akayaweka majina ya maeneo ya Tanzania.
 
Nina ushahidi wa kutosha kwamba hiyo kazi alifanya mtu huko Kenya wilaya ya Garisa. Naona kanunua na kubadilisha tu majina, yale ya Kenya akayaweka majina ya maeneo ya Tanzania.
Ishaanza kuvuja au??[emoji848][emoji848][emoji848]
 
PHD za bongo za wanasiasa ni chenga tu,wanachojali ni heshima tu,hakuna manufaa yoyote ukilinganisha walipokuwa na shahada na sasa Wana PHD!!ni mbwembwe tu,
Watu wangapi wanajua DP William Ruto ni PHD holder!!wachache sana,kwa sababu yeye anajari hiyo PHD inafanya nini,sio kuitumia kama cheo,
Kuna mbwiga mmoja,alitaka tuamini anayoyasema kuhusu uchumi!kwa vile tu ni Dokta wa uchumi!!hajawahi hata kushauri au kuendesha kampuni,kisa kadesa na kupata PhD,anataka tutetemeke
 
Kwa Tanzania au Africa PHD au proffesor ni title tu lakini hazinaga msaada kwenye ground..... muulize sasa PHD yake ina msaada gani kwenye jamii yake au nini amefanya kupitia elimu yake na kuisaidia nchi zaidi ya kuwa na kadi ya CCM...

Binafsi naona bora hata tuwe na viongozi masela au wenye elimu ya degree kuanzia second class kwenda chini....hawa wengi halafu ukakuta masela huwa wako real, wengi waliosoma vizuri hapa Tanzania huishia kuwa wapumbavu tu..
 
Kwa uandishi huu wa kujilinda huenda wewe ndiye Jaffo nani dhahiri umeipata hiyo Phd dukani kwa mpemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…