Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Nasikitika sana kuona haya yanatokea chini ya kiongozi Mwanamke!
aliyefanya adam akafukuzwa eden ni mwanamke, aliyemuuza samson kwa wafilisiti ni mwanamke, aliyeomba kichwa cha yohana kwenye sahani ni mwanamke, aliyemtongoza joseph na baadae akadai mbele ya mfalme kuwa alitaka kumbaka baada ya joseph kukataa takwa lake ni mwanamke.

hayo ni baadhi tu, bado unasikitika?
 
Hamna kinacho endelea mkuu ni watanzania TU Mila ZETU kukuza mambo iwe wamesoma au hawajasoma ssisi ni TATIZO TU KWA kweli,


Deal of millions dollars, kwishaaaaaa
 
Kwa mada anazoleta Brittanica humu ndani lazima wavamie.Wapo huku na wanafuatilia vizuri tu mada za humu
Waache tuishi nao...., na isitoshe JF hainga spanner ki-viile
 
Mkuu,

Unaweza kuthibitisha Adam alikuwapo na alifukuzwa Eden na hizi si hadithi za kutungwa na watu kwa kuungaunga tu??
 
Huu ujumbe wako ni kama wa kujikweza sana...Ningekuona wa maana sana kama ungetoa hints kwa ambao hawajui namna ya kujlinda hata zile basics tu. Ila kujua kwako na Kujikweza kua unajua indirectly hakusaidii lolote zaidi unaonekana mnafiki. Ndio mana itachukua muda mrefu sana na kwa shida sana revolution kutokea Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…