Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Sisi wengine ngoja tuende kwenye Uzi wa kula tunda kimasiala.Nafikiri huyu ndiye mwanamke mpumbavu kuliko wote Tanganyika
Huwa nikimkumbuka dogo Roho inauma sana sana 😔 😴Hii nchi ina maigizo sana, mpaka leo hakuna cha maana wakichokifanya kumtafuta mdude lkn mtu kikosoa serikali inakua nongwa, tutafika mbinguni tuko hoi sana
CHADEMA hiyo ilisha kufa na Mbowe; kama ilivyo CCM ambayo unadai pia ni mwanachama wake; iliyo anza kufa enzi za Kikwete, na sasa Haramia Samia Suluhu Hassan na GENGE lake wanatumia tu jina la chama kuinajisi nchi yetu.Sawa
Mimi ni miongoni mwa wanachama wa mwanzo wa Chadema tawi la Keys Kisutu Majamatini
Ahsante sana 🙏
Heshima kwako kaka.Kaka kiranga heshima kwako, nafurahi kukuona humu tena.. maana imekua muda Sasa.
Wakitumia mabavu kuendelea hadi 2030, kutakuwa na misukosuko sana, ni vyema kukubali mapema kama hukubaliki ukae kando..Melo anatafutwa na Abduli na Samia, kwakuwa Usalama, TDF, Police wapo mfukoni mwa abduli
Inasikitisha na kukatisha tamaaUnasema anayesakwa n Melo Afu hapo hapo unasema mwenye taarifa kamili ailete, sasa Ww hizo taarifa za melo umepata wapi?
Sote tumepitia huko mkuu, 'Tate'. Nchi hii iliwahi kuwa na chama cha CCM kilicho simamia maslahi ya nchi hii kwelikweliMimi mwanchama wa ccm, ila ninaamini siku zote kwenye hiki ulicho kiandika hapa. Kwangu mimi ninaamini kwenye maslahi ya nchi kwanza! Badala ya maslahi ya chama, au kikundi cha watu wachache wenye nguvu ya pesa.
Ikiwa imekufa je tutasemaje juu ya wanachukua chako mapema?CHADEMA hiyo ilisha kufa na Mbowe; kama ilivyo CCM ambayo unadai pia ni mwanachama wake; iliyo anza kufa enzi za Kikwete, na sasa Haramia Samia Suluhu Hassan na GENGE lake wanatumia tu jina la chama kuinajisi nchi yetu.
Halafu unakuja hapa na vimizaha kila leo; kana kwamba kuna ngonjera!
Inasikitisha na kukatisha tamaaUnasema anayesakwa n Melo Afu hapo hapo unasema mwenye taarifa kamili ailete, sasa Ww hizo taarifa za melo umepata wapi?
Tena matahira kabisa, wengine wamegeuza post hii km ya utani wanataniana na kujichekesha km malaya wa kimboka..!!yaani kupitia huu uzi nimeona rangi halisi ya waTz...
Watu ni wanafiki, halafu waoga balaa, yaani keyboard warriors wapo hapa...
Hapo 2100 mbona karibu sema 10,000 kabisa, muovu na uovu hausahauliki.Itafika 2100 bado mtamlaumu jpm
Kweli aiseeNdio Maana brittanicca alitaka kumtonya maana alimwita Pm
Tunawalaumu kina Hitler hadi leo, itakuwa dhalimu magu?Nyie JPM ameshafariki miaka imepita, unataka wakamfufue aje arekebishe makosa aliyofanya...
Au utawala uliopo ndio unapaswa kujirekebisha?
Mtamlaumu huyo mzee hadi lini? mtu kafariki bado hamumuachi...
Hawa ni majambazi wanaotumia ngozi ya kondoo (CCM), wakati uhalisia ni kuwa wao ni chui.Ikiwa imekufa je tutasemaje juu ya wanachukua chako mapema?
Hitler alikukosea nini wewe?Tunawalaumu kina Hitler hadi leo, itakuwa dhalimu magu?
Chadema haijafa ila Wachaga ndio wamekimbia baada ya kufanya Biashara kwa miaka 33CHADEMA hiyo ilisha kufa na Mbowe; kama ilivyo CCM ambayo unadai pia ni mwanachama wake; iliyo anza kufa enzi za Kikwete, na sasa Haramia Samia Suluhu Hassan na GENGE lake wanatumia tu jina la chama kuinajisi nchi yetu.
Halafu unakuja hapa na vimizaha kila leo; kana kwamba kuna ngonjera!
Mpe vidonge vyake huyo kijana wa mboga mboga.Siwezi kumaliza kwa mtu wa aina yako; na wengine wote unao fanana nao.
Huu ni wajibu wangu kwa Tanzania.