johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ahsante sana kwa taarifa πThread 'Maxence Melo: Uvamizi uliofanywa ofisi za JamiiForums haujaathiri Shughuli, Miundombinu na wafanyakazi' Maxence Melo: Uvamizi uliofanywa ofisi za JamiiForums haujaathiri Shughuli, Miundombinu na wafanyakazi
Mungu ibariki JF
Mbogamboga ππβοΈMpe vidonge vyake huyo kijana wa mboga mboga.
ππMbogamboga ππβοΈ
Asante kaka.Heahima kwako kaka.
Nipo kila siku labda tunapishana tu.
Hii habari inanikumbusha mbali sana miaka ya urais wa Kikwete Max alivyoshikiliwa tukapigana mpaka akaachiwa.
Kikwete aliwaambia wale polisi wamuachie Max kwa sababu kumshikilia kukikuwa kunalipa taifa jina baya sana.
Inaonekana siku hizi hawajali image ya nchi tena.
Kwa hiyo wewe huna tofauti yoyote na Stephen Wasira.Chadema haijafa ila Wachaga ndio wamekimbia baada ya kufanya Biashara kwa miaka 33
Mimi milianzia TYL, kisha Chadema, NCCR na 2000 nilirejea nyumbani CCM tawi la Kambangwa mwananyamala πβοΈ
Maana toka aseme nae ni mtumiaji kazi imeanzaDah. Poleni sana. Itakuwa Polepole huyo
Na ni kwanini mtukane? Hamuwezi kujenga hoja bila kutukana. October tunatiki.
Kwani kila muovu lazima awe amenikosea mimi?Hitler alikukosea nini wewe?
Wa kwanza huyu hapa, piga kabisaHakamatwi mtu, kutukana tutatukana, na kukosoa tutakosoa..
Walimtukana mmeo?
Hii uliisoma wapi? Leta source ya kuvalidate post yako kwamba ukizuia watu wasitukane unawachochea wafanye mapinduzi ya nguvu.Ukuzuia watu wasitukane unawachochea wafanye mapinduzi ya nguvu.
Huelewi wapi?
Wewe unafikiri nchi za magaharibi zinavyoruhusu uhuru mkubwa wa wananchi kutukana, unafikiri viongozi ni wajinga ?
JezebeliMwanamke ndio nini?
Kweli kabisaMsiogope JF wala msifute post hapa acheni tuteme nyongo pole sana max kwa kilichotokea ofisini kwenu
Kumbe upo Nyangwisi ...GT Nipe mda kidogo ntaleta kila kitu.
Hii uliisoma wapi? Leta source ya kuvalidate post yako kwamba ukizuia watu wasitukane unawachochea wafanye mapinduzi ya nguvu.