Mayalla ana hali gani mida hii baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Hapo kwenye bold, ni vyema ujifunze tu kuandika kuliko kuingia kwenye mambo makubwa yaliyo nje ya uwezo wako.
Siyo wote tunajua kiswahili vizuri usizanu wote tulisomea tz ...acha kutumia matakooo kufikiri
 
Chadema haijawahi kukurupuka Wala kufanya kazi Kwa mashinikizo
 
Yaani wewe ni empty headed
 

Mayala Hana presha kabisa, anajua fika wale ni wabunge na wataendelea kuwa wabunge, na Leo wameingia bungeni na Spika Yuko kimya kabisa
 
You are beating round the bush.
Jijibu maswali niliyopoint out.
Usitake kurusha mchanga machoni kuficha kutojibu the basic contradiction hapo.
 

Jaman tuhifadhi maneno yetu, tusijifanye tunajua Sana
 
Ataenda mahakamani kukata rufaa kwa ajili ya Covid 19!
 
Mayalla ana tatizo mahali siyo bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…