Mayele angetetema Mara ngapi mechi ya Orlando pirates vs Simba

Mayele kwani ameanza kucheza mpira Utopolo? Huko alikotoka ana record gani ya kutetema kwenye mechi za kimataifa!
Cjafutilia alikotoka Ila nahisi kile kichapo mlichopewa na AS VITA naye aliwafunga
 
Mkuu.....ko chama unamfananisha na Mayele kweli......

Mayele ni class za kina CR 7. wazee wa kufosi matokeo
Waweke sokoni afu bei zitaongea.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ huyo mapele angekua na kiwango mnachokitengeneza kwenye fikra zenu asingekua hapo utopwinyo. Wakawaida ile ordinary kabsa
 
Mkuu.....ko chama unamfananisha na Mayele kweli......

Mayele ni class za kina CR 7. wazee wa kufosi matokeo
Eti mapele ni class ya CR7 labda CR wa chuo cha utumishi huko katavi maana ni jogoo la shamba
 
Simba wanamuweka beki ndo acheze namba 9, wanatarajia nn? Mugalu sio forward [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Waweke sokoni afu bei zitaongea.[emoji23][emoji23][emoji23] huyo mapele angekua na kiwango mnachokitengeneza kwenye fikra zenu asingekua hapo utopwinyo. Wakawaida ile ordinary kabsa
Mkuu ....now Tz Ni daraja la kuvukia kwenda abroad kwa wachezaji wa mpira

Refer to Banda (Simba) .....ilibidi aende abroad but aliamua kwenda Simba ......Hadi saizi wa Malawi Wana mmind Sana kwenda SIMBA badala kwenda nje
 
Hahahah kagere kaongoza na kachukua kiatu mara ngapi au bocco kwa idadi ambayo mapele hataifikia
Ushindan kipindi hicho ulikuwa zero.....that's y walitrend Sana

But now ligi ni nzito .....timu zina ushindan Sana that's y wachezaji hao wanashndwa ku trend .....

Mfano

John Bocco ndiye aliekuwa mfungaji Bora but now mzunguko wa pil Hana goli hata moja. Hata la offside kashindwa kufunga[emoji23][emoji23][emoji23]

Kagere kidg anajikongoja ana goli sawa na beki za YANGA
 
Hiyo miaka 4 nani utopolo kachukua ufungaji bora au kombe la ligi kuu. Acha kuruka ruka mzee baba huyo mayele ordinary kabsaaaaaaaa. Ndio maana mkamchukua buuureeeee. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mnaongea sana na huyu Manywele wenu. Nyie si mlicheza na rivers utd. ikawaje?

Bakisheni maneno msimu ujao kuanzia august mtakuwa Champions league si yetu macho.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Eti mapele ni class ya CR7 labda CR wa chuo cha utumishi huko katavi maana ni jogoo la shamba
Mayele asilimia kubwa ndiye anayeamua matokeo ya yanga ......that's y tuna mclassify Kama ni mchezaji anayeweza kubadilisha matokeo mda wowote
Kama kina CR7 ......messi (zaman), mbappe
 
Hatutaki ngeli sie. Mwambie ateteme kama ubavu anao
 
Simba wanamuweka beki ndo acheze namba 9, wanatarajia nn? Mugalu sio forward [emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu ...Mugalu na Bocco mi naona Bora wawe ni makipa tu
 
Kwani hiyo miaka 4 matokeo ya simba yalikua yanaamuliwa na nani..? Wewe ndo ulifunga yale magoli ya bocco +kagere nk na kombe ukawaletea wana lunyasi..?
Mayele asilimia kubwa ndiye anayeamua matokeo ya yanga ......that's y tuna mclassify Kama ni mchezaji anayeweza kubadilisha matokeo mda wowote
Kama kina CR7 ......messi (zaman), mbappe
 
Mayele asilimia kubwa ndiye anayeamua matokeo ya yanga ......that's y tuna mclassify Kama ni mchezaji anayeweza kubadilisha matokeo mda wowote
Kama kina CR7 ......messi (zaman), mbappe
Acha kumfananisha messi, CR7 mbappe na hiyo ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Hiyo miaka 4 nani utopolo kachukua ufungaji bora au kombe la ligi kuu. Acha kuruka ruka mzee baba huyo mayele ordinary kabsaaaaaaaa. Ndio maana mkamchukua buuureeeee. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaaah Hilo sijapinga mkuu.....kagere na Bocco walikuwa Bora Sana.......Ila walikuwa Bora mbele ya wabovu

Nadhani umewahi shuhudia ...unaweza kuwa unaongoza shuleni .....lakn mkienda kwenye mitihani ya mock ......unakuta yule kipanga wenu yupo nafasi ya 20

That's y nasema inawezekana Hawa ndugu walikuwa Bora mbele ya wabovu

Kama wako poa ......Basi walete competition kipind hiki ligue ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ