Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

We jamaa unaumwa ugonjwa mkubwa sana !
 
Safi sana huyo dogo ndiye kamanda wa uhakika na asiyeweza kununuliwa kirahisi na mashetani.

Kumbukeni kuwa kada anaandaliwa kabisa toka utotoni.
 
Chadema huo ni ushahidi kuwa mikutano yenu inahudhuriwa na watoto wadogo
mumekuwa mkisema ohh mikutano ya CCM wanahudhuria watoto wadogo huyo mliyempa daftari Chadema ni kikongwe huyo?
Tatizo lako hutaki kuisumbua akili yako ya kupewa na Mungu, maana ya darasani hiyo huna
 
What a double standard. Si mnasema watoto wabaki shule kujisomea na sio kuhudhuria mikutano ya kisiasa Kama wanavyosombwa na ccm? Nilifikiri mngemchapa viboko ati.
Wacha upumbavu wewe, huyo mtoto kasema mwenyewe kuwa alienda hapo mkutanoni baada ya shule kuwaruhusu kwenda kula chakula cha mchana.

Yeye badala ya kwenda kula akaamua kwenda kumuona rais wake.
 
Huyo hakutumiwa bajaji wala punda kwenda kumchukua kutoka shuleni bali alikwenda mwenyewe kwa hiari yake kwenda kumuona rais wake
Kwa hiyo picha zake zilivyozagaa mitandaoni sio kampeni? Kamanda mwenzangu tuwe wakweli, mnamuaibisha Lissu.
 
Wacha upumbavu wewe, huyo mtoto kasema mwenyewe kuwa alienda hapo mkutanoni baada ya shule kuwaruhusu kwenda kula chakula cha mchana.

Yeye badala ya kwenda kula akaamua kwenda kumuona rais wake.
Hahahaa still double standard. Kwanini asiende kula na aliwajibika kwenda kula ikiwa ni ratiba ya shule ili akirudi darasani afuatilie vizuri masomo. Na unauhakika alirudi shule baada ya mkutano? Nyumbulism is an art.
 

Kuna kipindi nilidhani una akili, sitajisamehe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…