Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

Hapa ndipo utaujua utapeli wa CHADEMA ni hiki walichokionyesha kwa huyu mtoto
Sera yao wanayonadi ni kuwa maendeleo sio vitu

Chadema mumekiuka sera zenu maendeleo sio vitu kwa nini mumempa huyo mtoto vitu yaani madaftari na Peni?


Hizo kweli ndizo za hadi kumpiga picha mtoto?
We jamaa unaumwa ugonjwa mkubwa sana !
 
Ama hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani .

Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno !

View attachment 1572209View attachment 1572210
Safi sana huyo dogo ndiye kamanda wa uhakika na asiyeweza kununuliwa kirahisi na mashetani.

Kumbukeni kuwa kada anaandaliwa kabisa toka utotoni.
 
Chadema huo ni ushahidi kuwa mikutano yenu inahudhuriwa na watoto wadogo
mumekuwa mkisema ohh mikutano ya CCM wanahudhuria watoto wadogo huyo mliyempa daftari Chadema ni kikongwe huyo?
Tatizo lako hutaki kuisumbua akili yako ya kupewa na Mungu, maana ya darasani hiyo huna
 
What a double standard. Si mnasema watoto wabaki shule kujisomea na sio kuhudhuria mikutano ya kisiasa Kama wanavyosombwa na ccm? Nilifikiri mngemchapa viboko ati.
Wacha upumbavu wewe, huyo mtoto kasema mwenyewe kuwa alienda hapo mkutanoni baada ya shule kuwaruhusu kwenda kula chakula cha mchana.

Yeye badala ya kwenda kula akaamua kwenda kumuona rais wake.
 
Huyo hakutumiwa bajaji wala punda kwenda kumchukua kutoka shuleni bali alikwenda mwenyewe kwa hiari yake kwenda kumuona rais wake
Kwa hiyo picha zake zilivyozagaa mitandaoni sio kampeni? Kamanda mwenzangu tuwe wakweli, mnamuaibisha Lissu.
 
Wacha upumbavu wewe, huyo mtoto kasema mwenyewe kuwa alienda hapo mkutanoni baada ya shule kuwaruhusu kwenda kula chakula cha mchana.

Yeye badala ya kwenda kula akaamua kwenda kumuona rais wake.
Hahahaa still double standard. Kwanini asiende kula na aliwajibika kwenda kula ikiwa ni ratiba ya shule ili akirudi darasani afuatilie vizuri masomo. Na unauhakika alirudi shule baada ya mkutano? Nyumbulism is an art.
 
CHadema mnasema maendeleo sio vitu kwenye sera yenu kwa nini mumempa vitu yaani madaftari na peni huyo mtoto?

Mwangalieni usoni dogo anavyowashangaa!! mbona mnasema maendeleo sio vitu halafu mnanipa vitu? Dogo anaonyesha wazi kachukia na hawaelewi Chadema anauliza nini hiki mlichonipa mkononi wakati mnasema maendeleo sio vitu na nimemsikia mimi mwenyewe Lisu akiongea nilipokuwa juu pale penye mti? Mbona siwaelewi?

View attachment 1572220

Kuna kipindi nilidhani una akili, sitajisamehe!
 
Back
Top Bottom