Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

Chadema huo ni ushahidi kuwa mikutano yenu inahudhuriwa na watoto wadogo
mumekuwa mkisema ohh mikutano ya CCM wanahudhuria watoto wadogo huyo mliyempa daftari Chadema ni kikongwe huyo?
huyo mtoto wa shule kapandishwa juu ya mti kwa lazima hata sura yake inaonyesha wasiwasi.
 
Sio rushwa hiyo??
 
Huyu dogo anaonekana yupo vizuri hata wakati anafanyiwa interview anajielewa sana, just imagine yupo std 3.

Huko Instagram watu wamesha anza kumkabidhi vifaa vya shule
Kalishwa maneno shuleni Kwao walinu wanasema alitoroshwa na mtu na wanafunzi wenzie wanasema hivyo
 
Chadema huo ni ushahidi kuwa mikutano yenu inahudhuriwa na watoto wadogo
mumekuwa mkisema ohh mikutano ya CCM wanahudhuria watoto wadogo huyo mliyempa daftari Chadema ni kikongwe huyo?
Huyo nae Ana kiu ya haki,kwa mapenzi yake,kwao amaamua kwa hiyari take tens kumbuka mikutano haifanyiki juu ya miti,kitendo Cha kupewa vifaa vya shule ni ahamasike kupenda shule pia. Itamjenga kuwa mtu Bora zaidi hapo baadae.
 
Tundu Lissu Jnr the making...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…