Huu uzi unafutwa sasa hivi. Just wait and see!!! 🗣️Modssssss!!!!
 
Labda wanatukamata ili wakatufundishe jinsi ya kuwapenda..
 
Ila kwenye uchaguzi rais anaweza kuamua nani awe mbunge kinyume na box na box kura. Yaani watu hatujali uvumi, sisi wengine tuko kwenye maombi kabisa hilo jizi la kura litangulie ahera, nini kuzushiwa?
Utaomba sana sisi tunakusubiri 2025, tukugonge tena
 
Nchi yetu imekuwa ya ajabu sana. Yule aliye Ripoti msiba jana usiku, HATAFUTWI?
 
Mwambie aje hapa nchini awe anabwatuka akiwa hapa hapa
 

Hizo sifa zote ni kwa hilo jizi la kura?
 
Kigogo sii Mange, Kigogo ni Taasisi Haiwezekani Account iwe Online 24 hour, Ukishtuka saa 9 usiku Kigogo yupo online Anytime yupo Online Uje umkamate kiboyaboya hivi wamuulize Kangi Lugola.
 
Jamani mbona mnatuchanganya?. Mtu wangu wa karibu kitengo kanidokeza nisisumbuke na kuangaika na uvumi unaoendelea mtandaoni TISS wameamua kucheza na akili za watu kupotezea ishu ya mahindi kukataliwa Kenya.

Kigogo na Chahali ole wenu Jiwe azinduke
 
Ndio maana nakwambia mwambie aje hapa nchini awe anaposti upuuzi wake uone kama atachukua round

Yupo sana, kama mna uwezo wa kumkamata akiwa hapa nchini, kimewashinda nini kumkamata aliyempiga Lissu risasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…