Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Usifananishe mandela na vitu vya kijinga
Ni ukweli, kama mlivyomfananisha jiwe na Yesu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifananishe mandela na vitu vya kijinga
Utaomba sana sisi tunakusubiri 2025, tukugonge tenaIla kwenye uchaguzi rais anaweza kuamua nani awe mbunge kinyume na box na box kura. Yaani watu hatujali uvumi, sisi wengine tuko kwenye maombi kabisa hilo jizi la kura litangulie ahera, nini kuzushiwa?
Na wewe tunakutafuta, utalala ndaniMagereza yapo mengi tu nchini, mnaofikiri nafasi zimejaa mtasekwa ndani tu hakuna namna
Kwa nini ufutwe mkuu?Huu uzi unafutwa sasa hivi. Just wait and see!!! 🗣️Modssssss!!!!
Mwambie aje hapa nchini awe anabwatuka akiwa hapa hapajapokuwa sishabikii masuala ya kutangaziana habari za vifo wkt wahusi wako hai.
nikumbushe tu hii si mara ya kwanza wamejarib kumtafuta kigogo.
walishajarib before. hawakufanikiwa licha ya gharama kubwa kutumika.
maybe tuone kwa sasa watakuja na njia gani.
Sikusikia, kwani walisema yuko wapi?Wenye mamlaka mbona walishasema?
Mimi ninamwomba Rais Magufuli na serikali yake kuwa wasitafute makosa kwa watu wengine bali ingekuwa busara kama yeye Rais na wasaidizi au watendaji wake wangejiuliza au kujitathmin wao wenyewe kuwa wamefanya makosa gani, mpaka hao watu au huyo kigogo akapata nafasi ya kujitutumua hivyo kwa kuleta uongo mitandaoni?
Nashangaa kwanini toka tusikie hizi tetesi za
kupotea kwake kutoka kwa hao waropokaji wa dunia wasioitakia mema Tanzania na watanzania kwa ujumla mpaka hii leo Rais Magufuli, kama bado yuko salama huko aliko, ameshindwa kupost hata clip moja, akawasalimia watanzania na kuwahakikishia kuwa yeye yu mzima na salama wa salmin?
Yeye na serikali yake wanavyo endelea kukaa kimya namna hiyo ina malengo gani kwetu sisi wapenzi wake?
Nachopenda kusisitiza kwa Rais wetu na watendaji wako wa serikali ni kwamba naomba utambue kuwa wewe sio tu Rais na kipenzi cha watanzania peke yetu, bali ni Rais na kipenzi cha wananchi wengi wa ulimwengu pia utake usitake. Matendo yako na ujasiri wako katika kipindi hiki kifupi cha muhula wako wa kwanza yametokea kuyapendeza wananchi wengi ulimwenguni hasa waafrika popote pale walipo duniani. Zaidi ya hayo wewe umekuwa matumaini yao na msemaji wao katika mapambano dhidi ya mabeberu.
Kwa hali hiyo nipende tu kukueleza kuwa usifikiri kukaa kwako kimya ni sifa. Kwa watu wengi ambao wewe ni matumaini yao kama nilivyo dokeza hapo juu ni kwamba kuto kujitokeza kwako kunatufanya sisi wazalendo wa nchi yetu Tanzanaia na wafuasi wako tuwe na mashaka na wasiwasi mkubwa. Usiku hatulali vizuri tuna kuwa na msongo wa mawazo kuhusu maisha yako na hali ya maisha ya watanzania na maendeleo yetu bila wewe itakuwaje?
Rais Magufuli naomba utambue kuwa wewe katika karne hii ya 21 mpaka sasa, sijui huko baadae, ni Star wa waafrika and you are more than akina Nyerere na akina Lumumba, kwa mtazamo wangu. Chochote kitakacho semwa kuhusu wewe basi ujue kuwa ulimwengu mzima utapata habari. Wewe kwenye ulimwengu uko kwenye Level ya akina Trump kiumaushuhuri.
Nitoe mfano kuhusu hii nchi ambayo ninanishi, kuna Magazine moja kwa jina la "SPIEGEL", hii Magazine ni kama TIMES na NEWS WEEK au SUN ya nchi tunazo zijua. Ni jarida ambalo linaheshimika sana Ujerumani na lina wasomi wengi ambao ni prominent kama akina Angela Merkel na wengineo. Sasa jarida kama hili likiandika mambo yoyote yale kuhusu wewe, yawe mabaya au mazuri, basi elewa kuwa you must be somebody to fear or to love.
Kwa bahati nzuri wewe kwa wazalendo wengi kama mimi nakupa BIG UP kutoka moyoni, lakini kwa wasaliti wachache wakiwemo wa-caucasian ni tishio kwao.
Kwa hali hiyo nakuomba chonde chonde Rais wetu tuondoe mashaka kwa kujitokeza kwa chochote kile. Kukaa kwako kimya hakutupi sisi wafusi wako faraja na amani, kunatufanya sisi tunyong'onyee sana na hivyo pia katika hili janga la COVID-19, tuweze kupungukiwa na immunity yetu na kuwa vulnerabe kwa CORONAVIRUS.
Wewe mwenyewe kila wakati unaimba wimbo wa kutaka sisi tusiwe na hofu, lakini hofu ya maisha yako ambayo wewe mwenyewe unasababisha kwa ukimya wako, hiyo huioni, isipokuwa hofu ambayo inasababishwa na CORONAVIRUS ndiyo unayoiona.
Hiyo ni double standard Rais wangu, huwezi ukatufanyia ubaya hivyo. Sisi tukiiona sura yako tu ni amani tosha.
Wewe ni ICON yetu sisi wanyonge na wazalendo wa nchi yetu na Race yetu. Wewe ni mpambanaji wa rasilimali zetu kwa maslahi yetu na ya waafrika wote kwa ujumla na pia uafrika wetu kwa hivi sasa kuliko Rais mwingine yeyote yule Afrika. Wewe ni mtetezi wa Race yetu dhidi ya Caucasians. Kwa tagadhali usifanye utani na maisha na afya yako!
Nakuombea maisha mema marefu na baraka nyingi zenye upendo kwa Mungu wetu wa Mbinguni!
Wewe unajua yuko wapi? Maana umeng'ania oh aje TZ? Una hakika gani kuwa hayuko TanzaniaNdio maana nakwambia mwambie aje hapa nchini awe anaposti upuuzi wake uone kama atachukua round
Utaomba sana sisi tunakusubiri 2025, tukugonge tena
Unajua yuko wapi? Tuanzie hapoMwambie aje hapa nchini awe anabwatuka akiwa hapa hapa
Jamani mbona mnatuchanganya?. Mtu wangu wa karibu kitengo kanidokeza nisisumbuke na kuangaika na uvumi unaoendelea mtandaoni TISS wameamua kucheza na akili za watu kupotezea ishu ya mahindi kukataliwa Kenya.
Kigogo na Chahali ole wenu Jiwe azinduke
Ndio maana nakwambia mwambie aje hapa nchini awe anaposti upuuzi wake uone kama atachukua round