Mbaya sana unamtongoza mdada anakujibu ana mtu!!

Komwee hunaga bahatii, yaan kila ukigusa nehii, kaoge maji ya chumvi.
Poleee wee, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakunna jambo jepesi kama mwanamke akikuambia ana mtu, kifupi anakuwa kamachoka huyo mtu, ila anachotaka uingie vitani kumtoa huyo nduli, anakuwa hapo kama kakupa info kama CIA
Em sema kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu siku hizi wala huna haja ya kumfukuza mtu kwa kelele, kuna mbinu ninayo, huwa naipiga hiyo, ana amua yeye atembee au abakii.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Si unakuwa hujamwelewa! 😁
Mwanamke asipokuelewa anakufunyia mbinu za kimafia, akuelewe sasa, wala hakumbuki hizo mbinu! 😊
Kuna ile unakutana na mwanamke kwa kukuona tuu anapata mchecheto mkali... 😁
 
Si unakuwa hujamwelewa! [emoji16]
Mwanamke asipokuelewa anakufunyia mbinu za kimafia, akuelewe sasa, wala hakumbuki hizo mbinu! [emoji4]
Kuna ile unakutana na mwanamke kwa kukuona tuu anapata mchecheto mkali... [emoji16]
Achaa Rafiki, niliwahi kukutana na kaka m1 main campus pale, afu alikua anachukua Masters, Aloooh yule Kaka, mama ake alizaa bhanaa

Nilikua naenda zangu venue za masters ili nimuone, [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan yaan, au bas.
 
Achaa Rafiki, niliwahi kukutana na kaka m1 main campus pale, afu alikua anachukua Masters, Aloooh yule Kaka, mama ake alizaa bhanaa

Nilikua naenda zangu venue za masters ili nimuone, [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan yaan, au bas.

Sasa je! Hizo mbinu zako za kimafia unazitumia pale ambapo hujamuelewa mwanaume, ila ukimuelewa hizo mbinu hutatumia. 😁
Na ni mtu mjinga tuu, ndio anaweza endelea kumsumbua mwanamke wakati mwanamke huyo hana interest nae. 😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23] km kweliii, ila sio kivileee.
 
Mwambie unampenda yeye pamoja na huyo mtu wake.
 
Ukweli humuweka mtu huru, kukwambia haiwezekani ni kukaribisha uwezekano maana waswahili husema Penye Nia Pana njia na unaweza kutengeneza njia pasipo na njia...
 
Hahah
 
Unapendelea jibu la haiwezekani et
Ndio jibu murua kwako😁

Sijui una kasilika nini kuambiwa kuna mtu ikiwa mtu yupo kweli

Wewe ingemuuliza ndio una mtu je kuna nafasi ya mtu mwingine niingie

Ajabu una chukia heheheh ooo mailodiii

Hahah, mm hua nawambia hata mm ninae.
 
Bado UNATONGOZA tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…