Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Tukikwambia utatushauri tuache na sisi hatutaki kuachaDaaaah semeni tuwadhauri msije jitoa uhai bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukikwambia utatushauri tuache na sisi hatutaki kuachaDaaaah semeni tuwadhauri msije jitoa uhai bure.
Awamu hii watu wengi wamejikatia tamaa, serekali ya CCM boresheni maslahi ya hawa askari.View attachment 2770839
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga ametoa taarifa za tukio la Askari kujiua kwa kujipiga risasi kisa mgogoro wa mapenzi...
Matokea yake mnajifyatua,Tukikwambia utatushauri tuache na sisi hatutaki kuacha
Mapenzi ya ujanani na stress za maisha vinawamaliza vijana wengiView attachment 2770839
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga ametoa taarifa za tukio la Askari kujiua kwa kujipiga risasi kisa mgogoro wa mapenzi...
Tatizo Mbeya ukimpenda dem anaenda kukuongezea na ndumba, ukichanganyiwa madawa unaweza kutembea barabarani huoni mbele unawaza huyo mwanamke tu.Matokea yake mnajifyatua,
Si hamtaki kushauriwa😂😂
Aisee poleni.Tatizo Mbeya ukimpenda dem anaenda kukuongezea na ndumba, ukichanganyiwa madawa unaweza kutembea barabarani huoni mbele unawaza huyo mwanamke tu.
Dogo kajiua kwa sababu ya utelezi tu.View attachment 2770839
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga ametoa taarifa za tukio la Askari kujiua kwa kujipiga risasi kisa mgogoro wa mapenzi.
Amesema tukio la kujiua kwa kujipiga risasi kwa aliyekuwa Askari J.2596 Konstebo wa Polisi Samwel Feston Kaziyote [24] wa kituo kikuu cha Polisi Mbeya.
Ni kwamba, Oktoba 02, 2023 majira ya saa 2:15 usiku huko maeneo ya Mtaa wa Mzumbe Forest ya zamani, Jijini Mbeya Askari huyo alijipiga risasi kidevuni na kusababisha kifo chake papo hapo.
Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni mzozo uliotokea baina yake na mpenzi wake baada ya marehemu kuacha lindo la Benki na kisha kuondoka na silaha bunduki kwenda nyumbani kwa mpenzi wake huyo na kujipiga risasi.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio hilo.
Mbeya ipi??? Acha ushamba kuweka majibu katika hali ya ujumla. Tupo mby kitambo na hatujafanyiwa hayo. Punguza kutunga mzeeTatizo Mbeya ukimpenda dem anaenda kukuongezea na ndumba, ukichanganyiwa madawa unaweza kutembea barabarani huoni mbele unawaza huyo mwanamke tu.
Kwahiyo unataka kusemaje
Kifo cha woga!View attachment 2770839
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga ametoa taarifa za tukio la Askari kujiua kwa kujipiga risasi kisa mgogoro wa mapenzi.
Amesema tukio la kujiua kwa kujipiga risasi kwa aliyekuwa Askari J.2596 Konstebo wa Polisi Samwel Feston Kaziyote [24] wa kituo kikuu cha Polisi Mbeya.
Ni kwamba, Oktoba 02, 2023 majira ya saa 2:15 usiku huko maeneo ya Mtaa wa Mzumbe Forest ya zamani, Jijini Mbeya Askari huyo alijipiga risasi kidevuni na kusababisha kifo chake papo hapo.
Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni mzozo uliotokea baina yake na mpenzi wake baada ya marehemu kuacha lindo la Benki na kisha kuondoka na silaha bunduki kwenda nyumbani kwa mpenzi wake huyo na kujipiga risasi.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio hilo.
Hujaelewa!?Sasa askari kama huyo auawe kwa lipi labda hata siri za jeshi hazijui,
Ni mapenzi tu hapo hakuna King kingine
Kabisa Mkuu...Jana kuna dada kanyongwa guest Arusha.
Last week alijinyonga mtu Mbeya.
Leo huyu kajipiga risasi mwenyewe.
Na kwenye hizi taarifa huwa hawasemi kwa nini wame conclude huyu kanyongwa yule kajinyonga mwenyewe yule kapigwa risasi, huyu kajipiga mwenyewe. How the hell do you know? Kuua mtu rahisi sana nchi hii, Taifa letu mjiitu haina inquisitive minds, we are 60 million incorrigible dummies!
Broo mtoto wa 2005 asaiv ana miaka 18, huu umri either yupo advance or O'level.Ndio maana mishangazi ya 2001 siitaki kabisa. Mimi natulia na kitoto changu cha 2005
Mi nadhani ni lile kosa liletalo ukiwa la kumfunga Mbarikiwa😆😆Dogo hana akili kabisa.
Kila siku tunawaambia vijana kwamba usipende mwanamke, mwanamke usimpe moyo wako, mpe hela sio moyo.
Vijana walivyo wajinga wanawapa wanawake vyote, mioyo na pesa. Sasa siku wakigundua kwamba mambo hayako wanavyofikiria huishia kuua mtu na kujiua ama kimojawapo.
Sasa kafa kaacha mwanamke watu waendelee kujitafunia kabla hata hajazikwa. Stupid kabisa.