Mbeya: Askari Polisi afariki kwa kujipiga risasi kisa mgogoro wa mapenzi

Mbeya: Askari Polisi afariki kwa kujipiga risasi kisa mgogoro wa mapenzi

Matokea yake mnajifyatua,

Si hamtaki kushauriwa😂😂
Tatizo Mbeya ukimpenda dem anaenda kukuongezea na ndumba, ukichanganyiwa madawa unaweza kutembea barabarani huoni mbele unawaza huyo mwanamke tu.
 
Tatizo Mbeya ukimpenda dem anaenda kukuongezea na ndumba, ukichanganyiwa madawa unaweza kutembea barabarani huoni mbele unawaza huyo mwanamke tu.
Aisee poleni.
 
View attachment 2770839
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga ametoa taarifa za tukio la Askari kujiua kwa kujipiga risasi kisa mgogoro wa mapenzi.

Amesema tukio la kujiua kwa kujipiga risasi kwa aliyekuwa Askari J.2596 Konstebo wa Polisi Samwel Feston Kaziyote [24] wa kituo kikuu cha Polisi Mbeya.

Ni kwamba, Oktoba 02, 2023 majira ya saa 2:15 usiku huko maeneo ya Mtaa wa Mzumbe Forest ya zamani, Jijini Mbeya Askari huyo alijipiga risasi kidevuni na kusababisha kifo chake papo hapo.

Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni mzozo uliotokea baina yake na mpenzi wake baada ya marehemu kuacha lindo la Benki na kisha kuondoka na silaha bunduki kwenda nyumbani kwa mpenzi wake huyo na kujipiga risasi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio hilo.
Dogo kajiua kwa sababu ya utelezi tu.
Mademu wote hawa, halafu yeye anajiua?
Huyu ukimkuta Jehanum ni wa kumpiga makofi.
 
Tatizo Mbeya ukimpenda dem anaenda kukuongezea na ndumba, ukichanganyiwa madawa unaweza kutembea barabarani huoni mbele unawaza huyo mwanamke tu.
Mbeya ipi??? Acha ushamba kuweka majibu katika hali ya ujumla. Tupo mby kitambo na hatujafanyiwa hayo. Punguza kutunga mzee
 
vijana wa kiume wanapaswa kuanza kushauriwa kuhusu mioyo ya wanawake mara wanapobalehe.....mioyo ya wanawake ni vichaka vina kila aina ya hatari ndnai yake. Hata ndoa kwa sasa ni shida. Wanawake wengi wako ktk ndoa kwa sababu hana kwa kukamata. Akishapata tu anamwanzishia mume vurugu.
 
Kwahiyo unataka kusemaje

Jana kuna dada kanyongwa guest Arusha.

Last week alijinyonga mtu Mbeya.

Leo huyu kajipiga risasi mwenyewe.

Na kwenye hizi taarifa huwa hawasemi kwa nini wame conclude huyu kanyongwa yule kajinyonga mwenyewe yule kapigwa risasi, huyu kajipiga mwenyewe. How the hell do you know? Kuua mtu rahisi sana nchi hii, Taifa letu mjiitu haina inquisitive minds, we are 60 million incorrigible dummies!
 
View attachment 2770839
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga ametoa taarifa za tukio la Askari kujiua kwa kujipiga risasi kisa mgogoro wa mapenzi.

Amesema tukio la kujiua kwa kujipiga risasi kwa aliyekuwa Askari J.2596 Konstebo wa Polisi Samwel Feston Kaziyote [24] wa kituo kikuu cha Polisi Mbeya.

Ni kwamba, Oktoba 02, 2023 majira ya saa 2:15 usiku huko maeneo ya Mtaa wa Mzumbe Forest ya zamani, Jijini Mbeya Askari huyo alijipiga risasi kidevuni na kusababisha kifo chake papo hapo.

Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni mzozo uliotokea baina yake na mpenzi wake baada ya marehemu kuacha lindo la Benki na kisha kuondoka na silaha bunduki kwenda nyumbani kwa mpenzi wake huyo na kujipiga risasi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na uchunguzi kuhusiana na tukio hilo.
Kifo cha woga!
Hatazikwa kijeshi.
 
Jana kuna dada kanyongwa guest Arusha.

Last week alijinyonga mtu Mbeya.

Leo huyu kajipiga risasi mwenyewe.

Na kwenye hizi taarifa huwa hawasemi kwa nini wame conclude huyu kanyongwa yule kajinyonga mwenyewe yule kapigwa risasi, huyu kajipiga mwenyewe. How the hell do you know? Kuua mtu rahisi sana nchi hii, Taifa letu mjiitu haina inquisitive minds, we are 60 million incorrigible dummies!
Kabisa Mkuu...
Kuna wale wengine eti hujinyonga mahabusu... How!?
 
Matumizi mabaya sana ya Risasi .
Kwanini asingejipiga kisu ?
 
Ndio maana mishangazi ya 2001 siitaki kabisa. Mimi natulia na kitoto changu cha 2005
Broo mtoto wa 2005 asaiv ana miaka 18, huu umri either yupo advance or O'level.
Kama kazaliwa November or December bado atakuwa ana 17.
Angalia usije kuozea jela.
 
Dogo hana akili kabisa.

Kila siku tunawaambia vijana kwamba usipende mwanamke, mwanamke usimpe moyo wako, mpe hela sio moyo.

Vijana walivyo wajinga wanawapa wanawake vyote, mioyo na pesa. Sasa siku wakigundua kwamba mambo hayako wanavyofikiria huishia kuua mtu na kujiua ama kimojawapo.

Sasa kafa kaacha mwanamke watu waendelee kujitafunia kabla hata hajazikwa. Stupid kabisa.
Mi nadhani ni lile kosa liletalo ukiwa la kumfunga Mbarikiwa😆😆
 
TAARIFA YA KIFO

MBE/RB/9702 /2023

TAREHE 02.10.2023 SAA 20.15HRS HUKO MAENEO YA MTAA WA MZUMBE - FOREST YA ZAMANI, KATA YA FOREST, TARAFA YA SISIMBA JIJINI MBEYA [:] ASKARI EX .J.2596 PC SAMWEL FESTOM KAZIYOTE,MIAKA 23, ,MNYIHA ASKARI POLISI KITUO KIKUU KATI MBEYA, MKAZI WA KAMBI YA FFU MBEYA ALIFARIKI DUNIA BAADA YA KUJIPIGA RISASI KICHWANI KIDEVUNI [[:] CHANZO CHA TUKIO NI MZOZO ULIOTOKEA BAINA YAKE NA MPENZI WAKE PRAXEDA D/O KAPOLA, MIAKA 30, MMALILA, MJASULIAMALI, MKAZI WA FOREST ULIOTOKANA NA WIVU WA KIMAPENZI [:] MBINU ILIYOTUMIKA NI KUACHA LINDO BENKI YA STANBIC ENEO LA MWANJELWA KISHA KUONDOKA NA SILAHA BUNDUKI AK-56 YENYE NAMBA 9477684 MALI YA JESHI LA POLISI NA KWENDA NYUMBAÑI KWA MPENZI WAKE HUYO KISHA KUJIPIGA RISASI [:] JUMLA YA RISASI 06 ZIMETUMIKA KATIKA TUKIO HILO [:] SILAHA IMEKUTWA ENEO LA TUKIO NA IMECHUKULIWA [:]MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA YA MBEYA KUSUBIRI UCHUNGUZI WA KITABIBU

3. MBINU ZA UHALIFU (MODUS OF OPERAND) -
MBINU ILIYOTUMIKA NI KUACHA LINDO BENKI YA STANBIC ENEO LA MWANJELWA KISHA KUONDOKA NA SILAHA BUNDUKI AK-56 YENYE NAMBA 9477684 MALI YA JESHI LA POLISI NA KWENDA NYUMBAÑI KWA MPENZI WAKE HUYO KISHA KUJIPIGA RISASI

4
 
huenda first love ilimkolea,penzi LA awali usipojua kulidhibiti lazima litoke na meno ya mtu
 
Back
Top Bottom