Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

Nilijua tu lazima upulize huko mwishoni[emoji1][emoji1]
 
Nawaza tu ingekua vipi yule anayeitwa humu JF na wenye chuki "mvaakobaz",angetembelewa na balozi wa Saudia,Iran au Qatar!!Ndiyo ungejua jinsi udini ulivyokolea JF.
Neno "uwekezaji"lisingeandikwa kabisa.
 
Dereva kama huyu? Amakweli mmepata dereva class Z
 
Machawa wa Mama mumekuwa ni Aibu kubwa kwa Watanganyika. Na toka CCM ianze kufuga CHAWA, taifa limeanza kupoteza kwa kasi watu waliokuwa na akili kama P.
 
Sugu hana miradi inayofadhiliwa na USaid au taasisi nyingine ya marekani.?

Msije mkaanza kudanganya watu kuwa marekani wanataka sugu awe mbunge wa mbeya mkatengeneza mgogoro wa kidiplomasia kwa kupenda sifa za kijinga.
Hayo ni yako. Umeyasema wewe.
 
Ni ishara mbaya sana kwa Betina
 
Japo hakwenda Mbeya Kwa Ajili hiyo Bali kuonana na Wamarekani wanaofanya kazi za Kilimo Mbeya.

So Sugu akapitia humo humo.Kwa mtu kama Sugu haya ni mafanikio 😆😆

View: https://twitter.com/USAmbTanzania/status/1725390901554352542?t=5s5aWFy3Ko0h5xEQ99mXGQ&s=19
 
Kwa nini hakutembelea makao makuu ya chadema au kumtembelea mwenyekiti Bw. Mbowe, ambaye anawakilisha chama.
Alichofanya huyo balozi ni very wrong, ni sawa balozi wa China amtembelee Bw. Mpina, huu ni urafiki wa wazi kabisa wa huyu balozi.
 
Poor soul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…