Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Na kumbe mashabiki wa yanga wapo wengi hivi, mi nilikuwa sijui

Sasa juzi tulipobeba ubingwa mlijificha wapi?
 
Asilaumiwe mtu yeyote plan tu ya timu nzuma Leo haikuwa nzuri kabisa tukubali tu tumepoteza tu game Leo tujipange Kwa ijayo.
Ndio,lakini ni mfululizo wa Bocco kuwa mzigo kwenye timu!
 
Okay!! Kwa mtazamo wako wewe Kwa nafsi yako,, unaitazamaje??
Kwa mtazamo wangu na kwa Sheria za offside, refa alikuwa sahihi Mkuu, leo Ndio ilikuwa ile siku ambayo wahenga walisema siku ya kufa Nyani miti yote huteleza
 
Sasa ni Rasmi Simba Sc imemkabidhi Yanga Ubingwa wa Premier League.

Ni kichwa maji tu au mtu anaeongozwa na ushabiki kuliko uhalisia, ndio anaeweza kupingana na mimi.


HUU NI UKWELI MCHUNGU, YANGA NDIO MABINGWA WA LIGI 2021/2022.
Hutokaa ujue mpira mileleπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…