Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

IMG_9043.jpg
 
Na kumbe mashabiki wa yanga wapo wengi hivi, mi nilikuwa sijui

Sasa juzi tulipobeba ubingwa mlijificha wapi?
 
Asilaumiwe mtu yeyote plan tu ya timu nzuma Leo haikuwa nzuri kabisa tukubali tu tumepoteza tu game Leo tujipange Kwa ijayo.
Ndio,lakini ni mfululizo wa Bocco kuwa mzigo kwenye timu!
 
Okay!! Kwa mtazamo wako wewe Kwa nafsi yako,, unaitazamaje??
Kwa mtazamo wangu na kwa Sheria za offside, refa alikuwa sahihi Mkuu, leo Ndio ilikuwa ile siku ambayo wahenga walisema siku ya kufa Nyani miti yote huteleza
 
Back
Top Bottom