Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Ni umeme, simu haina chaji si unacheki hapo juu sasa hivi itazima
Ikizima msiponiona msiseme nimekimbia
View attachment 2085132
Ndio,lakini ni mfululizo wa Bocco kuwa mzigo kwenye timu!Asilaumiwe mtu yeyote plan tu ya timu nzuma Leo haikuwa nzuri kabisa tukubali tu tumepoteza tu game Leo tujipange Kwa ijayo.
@Tate Mkuu Leo unafuraha sanaLile goli lilikuwa sahihi kabisa! Refa katuua mkuu! We mwache tu, tutakata rufaa ili hii mechi irudiwe kwenye dimba la Mkapa [emoji3062]
Bado mapema sana mkuu
Bado naamini tupo kwenye race
Uto watapoteana tu wakati huo tutakua tumeisha gain momentum
Hivi huyu kocha wetu ametokea REAL MADRID ya SPAIN KWELI??
mambo ya tanesco, wanawatafutia watu sababu waseme flani kakimbia😂😂😂😂😂
Kwa mtazamo wangu na kwa Sheria za offside, refa alikuwa sahihi Mkuu, leo Ndio ilikuwa ile siku ambayo wahenga walisema siku ya kufa Nyani miti yote hutelezaOkay!! Kwa mtazamo wako wewe Kwa nafsi yako,, unaitazamaje??
Hutokaa ujue mpira milele😂😂Sasa ni Rasmi Simba Sc imemkabidhi Yanga Ubingwa wa Premier League.
Ni kichwa maji tu au mtu anaeongozwa na ushabiki kuliko uhalisia, ndio anaeweza kupingana na mimi.
HUU NI UKWELI MCHUNGU, YANGA NDIO MABINGWA WA LIGI 2021/2022.
Usijali scars we potea hewani tu lawama wape ccm.mambo ya tanesco, wanawatafutia watu sababu waseme flani kakimbiaView attachment 2085137
Off side imesababishwa na john boccoWajuvi wa soka mkaribie hapa,, kujibu swali tajwa hapo juu, maana imekuwa gumzo Sasa!!
Aki ya nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kasababisha offside,goli la kagere likakataliwa!Pia alikosa goal la wazi baada ya Mugalu kukosa penalti,badala ya kushuti yeye akatuliza mpira,control ikawa chumba na sebule,kipa akauchukua kiulaini!Kafanyaje...huyo jamaa mpira hakuna tena