Kweli umepaniki [emoji16]Kwa hiyo kandambili mnataka mpewe ubingwa kabla hata round ya kwanza haijaisha?!
Game inayofata mkipigwa au draw msinune, mnyama tunajielewa bado tupo kazini.
Ahahaaaaaa.....! Watuuuu...Refa tunaomba msaada wa penat nyingne hi ya pil hatutakuangusha tunajua unatubeba
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kabisa fungu lake paleeee.....! Ameifanyia kila kitu,wameshindwa waoHuyu refa hata tukipigwa apatiwe fungu lake maana kazi yake kasha maliza
Wakati dirisha dogo linafunguliwa niliamini Simba wanajua tatizo la timu Yao liko wapi. Dhahiri tatizo la Simba Tangu mwaka Jana ni Striker baada ya viwango vya Wachezaji wote watatu kushuka kwa pamoja. Desemba 15 nikajua hata kama hawatasajili toka nje maana ni kazi kupata striker wa maana toka nje kipindi hiki ambapo timu zinaendelea na mashindano ya CAF, basi wangechukua hata mchezaji wa ndani mmoja akawa Back up ya hao waliodrop. Matokeo yake wameacha hivyohivyo, unatoa Flop unasub Flop?hapo ndio napomshangaa kocha na technical bench. maana toka pre season ilionekana striker ni tatizo. waliwezaje kuachana dirisha dogo likapita bila kusajili striker.
Nafahamu ili mpoteze ubingwa huwa kuna ujinga lazima ufanyike
We mkia kunywa mirinda nakuja kulipa inapunguza hasiraKwa hiyo kandambili mnataka mpewe ubingwa kabla hata round ya kwanza haijaisha?!
Game inayofata mkipigwa au draw msinune, mnyama bado yupo mawindoni na bahati mbaya mmeshamjeruhi, nyie ongozeni round ya kwanza kama kawaida yenu, sisi tutaongoza round ya pili mpaka mwisho
Uuuwiiii! Ila yatakwisha. πNikiona tu Bocco na shoga yake Mugalu kwenye kikosi cha kwanza hiyo mechi haitanihusu.
Tulia we mkia dawa ikuingie kunano, maana huwa unachonga sana na huo mdomo wako mrefuuNimekata tamaa.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Yanga ya msimu uliopita, na Yanga ya msimu huu! Lakini pia kuna tofauti kubwa zaidi kati ya simba imara ya msimu uliopita, dhidi ya simba hii ya msimu huu iliyojaa wachezaji wenye fatique, na iliyobadili zaidi ya makocha watatu ndani ya muda mfupi.Kwa hiyo kandambili mnataka mpewe ubingwa kabla hata round ya kwanza haijaisha?!
Game inayofata mkipigwa au draw msinune, mnyama bado yupo mawindoni na bahati mbaya mmeshamjeruhi, nyie ongozeni round ya kwanza kama kawaida yenu, sisi tutaongoza round ya pili mpaka mwisho
Hujakimbia ila hiyo sio kasi yako ya kurepy. π πNaona mkeka wako umechanika mkuu.
Mimi nipo siwezi kimbia hata mara Moja
Wapiga ramli mpo wengiSimba akishinda leo naweka hapa, PICHA YANGU, KITAMBULISHO CHA KAZI, MAJINA KAMILI NA FAMILIA YANGU. Najua mtakuwa na MSHANGAO sana kwa kutoamini kuwa huyu mtu msumbufu humu ndani ndio huyu.