Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Kwa hiyo kandambili mnataka mpewe ubingwa kabla hata round ya kwanza haijaisha?!

Game inayofata mkipigwa au draw msinune, mnyama bado yupo mawindoni na bahati mbaya mmeshamjeruhi, nyie ongozeni round ya kwanza kama kawaida yenu, sisi tutaongoza round ya pili mpaka mwisho
 
hapo ndio napomshangaa kocha na technical bench. maana toka pre season ilionekana striker ni tatizo. waliwezaje kuachana dirisha dogo likapita bila kusajili striker.
Nafahamu ili mpoteze ubingwa huwa kuna ujinga lazima ufanyike
Wakati dirisha dogo linafunguliwa niliamini Simba wanajua tatizo la timu Yao liko wapi. Dhahiri tatizo la Simba Tangu mwaka Jana ni Striker baada ya viwango vya Wachezaji wote watatu kushuka kwa pamoja. Desemba 15 nikajua hata kama hawatasajili toka nje maana ni kazi kupata striker wa maana toka nje kipindi hiki ambapo timu zinaendelea na mashindano ya CAF, basi wangechukua hata mchezaji wa ndani mmoja akawa Back up ya hao waliodrop. Matokeo yake wameacha hivyohivyo, unatoa Flop unasub Flop?
 
Ohoo
 
Attachments

  • 20220117_185444.jpg
    20220117_185444.jpg
    119.7 KB · Views: 11
Kwa hiyo kandambili mnataka mpewe ubingwa kabla hata round ya kwanza haijaisha?!

Game inayofata mkipigwa au draw msinune, mnyama bado yupo mawindoni na bahati mbaya mmeshamjeruhi, nyie ongozeni round ya kwanza kama kawaida yenu, sisi tutaongoza round ya pili mpaka mwisho
We mkia kunywa mirinda nakuja kulipa inapunguza hasira
 
Nasikia Kolo limekonyolewa huko...

Ukisikia Double Impact ndo hii sasa...

Jana mmekula maumivu ya kujitakia kwa sababu ya kiherehere chenu tu na leo ndo mmepewa stahiki yenu hasa!!
 
Ngoja tusimalize maneno..so far utopolo wako na advantage..but haijasha bado mpaka iishe..
 
Kwa hiyo kandambili mnataka mpewe ubingwa kabla hata round ya kwanza haijaisha?!

Game inayofata mkipigwa au draw msinune, mnyama bado yupo mawindoni na bahati mbaya mmeshamjeruhi, nyie ongozeni round ya kwanza kama kawaida yenu, sisi tutaongoza round ya pili mpaka mwisho
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Yanga ya msimu uliopita, na Yanga ya msimu huu! Lakini pia kuna tofauti kubwa zaidi kati ya simba imara ya msimu uliopita, dhidi ya simba hii ya msimu huu iliyojaa wachezaji wenye fatique, na iliyobadili zaidi ya makocha watatu ndani ya muda mfupi.

Mliiponda sana Yanga mwanzoni mwa msimu baada ya kukisafisha kikosi chake, na kusajili wachezaji wapya! Matunda yake yanaonekana sasa! Na nikuhakikishie tu; Yanga ndiye Bingwa msimu huu! Yaani wa kumzuia kwa kile kikosi chake cha maangamizi, hata simuoni.
 
Back
Top Bottom