Nawewe endelea kujifariji kwa msimu uliopita kutegemea yatatokea tena ukija kushtuka watu wananyanyua makwapaDjeyiiiiiiiiiiiiiiii walete
mwaka jana mnajifariji mbona tulipoteza mechi 2 na ubigwa tulichukua mnajiuliza mpinzan wenu mwaka jana alikuwaje????
Sasa endeleeni kujifarijiiiiiiiii ila mtakuja shituka kumekucha.
na kutoa jicho..Simba yapapaswa kwa mpalange
hahahahhaahaahaahhaahahhaha cheka kwa dharauuuuuuuSimba yaolewa bila mahari
Tulia tulia kolo fc weeeee!!!mlichonga sana humuuu!!timu haina mchezaji kaliba ya Aucho halafu mtegemee ushindi kwelii!!tangu ligi inaanza tuliwaambia mnashinda kwa mbindeeEmbu potezeeni basi watani.
Tutaweka wapi sura zetu sisi mashabiki wa Simba na midomo michafu ya nyinyi vyura.
hahahahahah makolooooooooooooo ulibwanjiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23] kwani makolo yana akili bas
watani zetu aka makolo fc wamezingua wenyewe, dirisha dogo wameshindwa kabisaa kusajili striker, sisi tuna mayele, makambo etc lkn tumemuongeza yule wa mbeya kwanza na yule wa TP Mazembe!!wao wametulia wanamrudisha mtu aliefeli masomo morocoJambo ambalo Yanga wamewazidi Simba Ni kwamba Yanga wanafanya maamuzi magumu hata ya kuvunja kikosi lakini Simba wanaogopa wachezaji. Wewe unamngangania bocco, mugalu na kagere wakati hawafungi. Niwe mkweli huwezi kushinda ligi wakati washambuliaji wako hawafungi magoli. Huu mwaka Simba wakubali ni mwaka wa Yanga. Yanga walifanya maamuzi magumu na kuvunja kikosi na kulete kikosi Cha ushindi na malipo yake yanaonekana. Simba iendelee kuwaabudu akina bocco tuone mwisho wake.
Tulibwino Wananchi[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]
[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]
[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]
[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]
[emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]
makolo muli bwanji
We msafwa wa mikia umekwama. Kiuhalisia Mbeya ni wanyaki. Hao wengine wadandiaji tuJamani mbeya sio ya wanyakyusa pekee, kuna wasafwa, wandali, wabungu, wamalila, wanyiha, na wengineo, mbona ivooo
Pablo ni kocha wa Madrid mtamuonyaje wakati nyie hapo hakuna aliyewahi kufika hata Wigan?! [emoji2]Wachezaji wengi walioanza Jana hawakuwa na Mechi Fitness kutokea Mapinduzi. Sijui ni nini Mugalu alianza kabla ya Kagere, Sijui ni Nini Mzamiru alianza, Sijui ni Nini Morrison Alianza huku Sakho Akiwa Bench, Sakho hata alipo ingia Impact Yake Ilionekana. Kitendo cha Kumuanzisha Benchi Sakho ni Kumrudisha Nyuma kutoka kwenye kila alicho kianza.
Pablo Aonyweee mapema, Kufungwa Kwa Jana Kumechagizwa sana Na yeye katika Kupanga Kikosi
N marudioHuu uzi bado upo live?
Angekuepo Banda wangeshidaGSM anatuharibia ligi, haiwezekani Mugalu apige 'penaiti' imegonga mwamba na refarii hajaongea chochote mpaka sahii na serikali ipo kimya tu.
Mwambieni Mo amlipe mwamuzi maana kazi kafanya Kama kawa Ila Basi tu sikio la kufaKwani mechi ilikua ya Simba na Utopolo? Mbona kama mmejifunga vibwebwe mnademka??? Wanaume mapovu yanawatoka kuliko Mbeya city wenyewe. Kweli nyie vyura hamuishi kelele
Duh! Hii sasa si timu nzima! [emoji848]Kocha aache hasira zisizo na maana, ana panic mno.
Atulie mpira ndo ulivyo
Kuna wachezaji inabidi Simba iseme imetosha
Kibu
Kagere
Mugalu
Bocco
Mzamiru
Morrison
Mhiru
Bwalya
Wawa
Hawa waondolewe kwa manufaa ya timu
Vipi hasira zimeshuka kidogo. Inakuwaje hutaki sisi mashabiki wa Mbeya City tushangilie baada ya timu yetu kushinda!Kwani mechi ilikua ya Simba na Utopolo? Mbona kama mmejifunga vibwebwe mnademka??? Wanaume mapovu yanawatoka kuliko Mbeya city wenyewe. Kweli nyie vyura hamuishi kelele