Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Semeni na yenu sasa. [emoji1787]
Mechi bado sana bado kuna matokea matatu yanaweza tokea kwa dakika zilizobaki. Natamani yule refa aliyechezesha mechi ya Mali na Tunisia aje na huku aivunje ile rekodi yake aliyejiwekea
 
Mi si mkaaji sababu hao jamaa wanajuaga sana matusi.

Nimekuja tu kuwakumbusha walivyoshadadia uzi wetu jana na Coastal na leo waje Washadadie. 🀣🀣🀣
Goli likirudi utawaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…