Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Sasa ni Rasmi Simba Sc imemkabidhi Yanga Ubingwa wa Premier League.

Ni kichwa maji tu au mtu anaeongozwa na ushabiki kuliko uhalisia, ndio anaeweza kupingana na mimi.

HUU NI UKWELI MCHUNGU, YANGA NDIO MABINGWA WA LIGI 2021/2022.
 
Tatizo la simba kubwa ni timu kukosa plan B.Mara nyingi imeonekana timu ikishazidiwa mwalimu anachokifanya nikulundika washambuliaji au kufanya sub za ovyo ovyo uku mfumo ukiwa ule ule usioeleweka.sasa matokeo yake wachezaji wanagongana gongana tu uwanjani.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mnyama kanyolewa sharubu....Mbeya city wamecheza fainali leo.
 
Sasa ni Rasmi Simba Sc imemkabidhi Yanga Ubingwa wa Premier League.

Ni kichwa maji tu au mtu anaeongozwa na ushabiki kuliko uhalisia, ndio anaeweza kupingana na mimi.

HUU NI UKWELI MCHUNGU, YANGA NDIO MABINGWA WA LIGI 2021/2022.
wamepata nafasi badala kusajili mshambuliaji wa maana wapo busy na chama. boko anajikwaakwaa tu mule ndani. mugalu na kagere hamna kitu. hawa bodi ya simba ni wasanii tu wote. wapo pale kupiga hela tu.
 
Sasa ni Rasmi Simba Sc imemkabidhi Yanga Ubingwa wa Premier League.

Ni kichwa maji tu au mtu anaeongozwa na ushabiki kuliko uhalisia, ndio anaeweza kupingana na mimi.

HUU NI UKWELI MCHUNGU, YANGA NDIO MABINGWA WA LIGI 2021/2022.
Mkuu ligi bado mbichi, kumbuka hii ni first round
 
Back
Top Bottom