Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Hahaha. Zaidi ya mzigo. Dalili zinaonyesha leo tunalala. Technical na psychological bench nimefeli miserably
Yametimia. Dalili zilikuwa wazi kabisa. Nidhamu ni jambo la msingi popote pale. Simba walipaswa wawe psychologically fit hususan unapocheza na timu za Mbeya. Unajaza magarasa akina boko na akina mugalu unawaweka kina Sakho kipindi cha pili. Hiyo ni dharau ya soka.
 
Mbali ya ukapteni Mohamed Hussein apewe heshima nyingine. Haiwezekani ukifungwa tena kihalali kocha au msaidizi wako unagoma kuongea na vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom