mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Ikipeta kwa haki si sawa na kupeta kwa dhulmaMafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikipeta kwa haki si sawa na kupeta kwa dhulmaMafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Kwa moyo ule huwezi ishi mda mrefu duniani bali mrefu na mashetaniMagufuli alikuwa na moyo uliojaa chuki sana. Sijui aliishije na chuki kubwa namna hiyo
Roho inakuuma sana Mdude kuachiwa huru eeh? Mlivyozoea kuonea watu, sasa hivi haki inatendeka roho zinawachomoka!! Agents wa Shetani kabisa!!!
Jitulize boya, kuna kitu unataka kusema lakini akili yako haijatulia! Tafuta maji ya kunywa, mengi, kama kichwa kinauma tafuta panado, alafu utarudi tu, uandike kitu cha kueleweka!UTASUBIRI SANA muh8ini yule kishashika adabu mwambie aende akashitaki sasa kama atakukubalia sasahivi kila mtu hata mtoto atamuamkia mpuuzi yule
Maneno yako yanasadifu aina ya utu ulio nao.UTASUBIRI SANA muh8ini yule kishashika adabu mwambie aende akashitaki sasa kama atakukubalia sasahivi kila mtu hata mtoto atamuamkia mpuuzi yule
Maneno yako yanasadifu aina ya utu ulio nao.
Kwa kifupi huna tofauti na mchawi mwingine yeyote!!!
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.
Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020.
Mdude ni Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA ambaye alitumia muda mwingi kuikosoa Serikali ya Awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati John Magufuli. Mdude anajitambulisha kama mpiganiaji uhuru wa kujieleza na uhuru wa kuwepo mdahalo wa kisiasa.
Pia soma
- Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi
Mhuni aliyekua hataki kukosolewa.imekula kwake.hata umalaika hapatiUTASUBIRI SANA muh8ini yule kishashika adabu mwambie aende akashitaki sasa kama atakukubalia sasahivi kila mtu hata mtoto atamuamkia mpuuzi yule
Kama kosa lake ni hili, mbona alishtakiwa kwa kosa jingine kabisa? Eti la kukutwa na madawa ya kulevya, mara kuhujumu uchumi.....!!!!View attachment 1833469uhuru wa kujieleza
huyu ni wale wachache waliopiganiwa. vipi kundi lingine lisilojulikana. Ndio maana namchukia Magu mpaka keshoLakini nchi hii tunanyanyasana sana wakuu.
Muda aliopoteza, familia ilivyoteseka daah
Ashitakiwe kwa matusi si kwa kesi za uongoView attachment 1833471tofautisha busara za mandela na huu ugonjwa wenu mnao ufuga
DAH! INGEKUWA MATAIFA YA ULAYA SA HZI JAMAA ANA MAMILION YA FIDIA.Lakini nchi hii tunanyanyasana sana wakuu.
Muda aliopoteza, familia ilivyoteseka daah
Na akitiwa hatiani hakimu aamuru kutia minyororo juu ya kaburi lakeHivi hatuwezi kumfungulia kesi marehemu Magufuli kwa huu utesaji
Wazee wa legency manatesaka sana [emoji2][emoji2]Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Umenena vyemaNatoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6, kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani
Ni muhimu sana kwa Chalamila na kundi lake akiwemo RPC wa Songwe na RPC wa Mbeya , Biswalo Mganga (mnyororo ni mrefu) wakamatwe na kushitakiwa ili kuimarisha utawala wa sheria nchini Tanzania, ni muhimu watu hawa kukamatwa ili kuepusha wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa lengo la kulipa kisasi.