Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Roho inakuuma sana Mdude kuachiwa huru eeh? Mlivyozoea kuonea watu, sasa hivi haki inatendeka roho zinawachomoka!! Agents wa Shetani kabisa!!!
1624879084563.png
uhuru wa kujieleza
 
UTASUBIRI SANA muh8ini yule kishashika adabu mwambie aende akashitaki sasa kama atakukubalia sasahivi kila mtu hata mtoto atamuamkia mpuuzi yule
Jitulize boya, kuna kitu unataka kusema lakini akili yako haijatulia! Tafuta maji ya kunywa, mengi, kama kichwa kinauma tafuta panado, alafu utarudi tu, uandike kitu cha kueleweka!
 
UTASUBIRI SANA muh8ini yule kishashika adabu mwambie aende akashitaki sasa kama atakukubalia sasahivi kila mtu hata mtoto atamuamkia mpuuzi yule
Maneno yako yanasadifu aina ya utu ulio nao.
Kwa kifupi huna tofauti na mchawi mwingine yeyote!!!
 
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.

Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020.

Mdude ni Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA ambaye alitumia muda mwingi kuikosoa Serikali ya Awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati John Magufuli. Mdude anajitambulisha kama mpiganiaji uhuru wa kujieleza na uhuru wa kuwepo mdahalo wa kisiasa.

Pia soma
- Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi


**ZILE SHS MIL 350 ZINAZORUDISHWA NI BORA KIASI CHA SHILING 20MILION AKAPATATIWA KAMA FUNGU LA KUANZA HARAKATI ZAKE UPYA.
N.B:-UTII WA MAMLAKA NI JAMBO JEMA,HAIMAANISHI KUACHIWA HUKU IWE NI CHANZO CHA KUANZA KUVUNJA SHERIA NA KUTUKANA WATU AU MAMLAKA ZILIZOPO MADARAKANI.**
 
UTASUBIRI SANA muh8ini yule kishashika adabu mwambie aende akashitaki sasa kama atakukubalia sasahivi kila mtu hata mtoto atamuamkia mpuuzi yule
Mhuni aliyekua hataki kukosolewa.imekula kwake.hata umalaika hapati
 
Natoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6, kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani

Ni muhimu sana kwa Chalamila na kundi lake akiwemo RPC wa Songwe na RPC wa Mbeya , Biswalo Mganga (mnyororo ni mrefu) wakamatwe na kushitakiwa ili kuimarisha utawala wa sheria nchini Tanzania, ni muhimu watu hawa kukamatwa ili kuepusha wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa lengo la kulipa kisasi.
Umenena vyema
 
Magufuli alijifanya mungu. Ndipo Mungu mkuu wa majeshi akaamua kumuua ili akomboe watu wake
 
Back
Top Bottom