Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

Laana ya Mungu dhidi ya nchi ilikubali kuongozwa na subhumans CCM Kwa miaka zaidi ya sitini
 
Kwa sasa havipo, na hiyo ni jukumu la wataalam, siyo maombi.
Maombi hayajawahi kuzuia wataalamu kufanya KAZI Yao,

Tatizo pale ni mvua kuzidi limits,

Hao wataalamu wanaweza kufanya nini Ili kuzuia Ernino nchini
tumrudie mungu ili mwisho wetu uwe salama
Hilo ndilo Mungu analitaka,

Ttukiacha UOVU na kumrudia Mungu, hatutopata majanga hayo, tutaishi maisha yenye salama zaidi.

Ubarikiwe!!
 
Maombi hayajawahi kuzuia wataalamu kufanya KAZI Yao,

Tatizo pale ni mvua kuzidi limits,

Hao wataalamu wanaweza kufanya nini Ili kuzuia Ernino nchini?
Kazi ya,wataalam sio kuzui mvua ni kutafiti if there is further posibilities of posible land slides, and to advice and allocate a safe place to live, and for other human endevors.
Wakiisha hama kama ni permanet problem au kujenge kingo kuzuia kama ni tatizo la muda wataende huko kwenye maombi.
Maombi hayana tija hapo kwa sasa.
 
Umewahi kuwa mchawi?

Kwanini hutaki wananchi wamwombe Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…