Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wakunjombe nao kumbe Wana vituko ? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Yote hii Lisa papuchiHuko njombe jamaa kamuua mchizi kisa alimkumbatia mkewe wakati wanacheza dansi kwenye sherehe, tofali moja la kichwa mwamba kazima
Nilimshauri rafiki yangu, "achana na huyo mwanamke" Bahati nzuri alinielewa na maisha yanaendelea!Shida ya ndoa za mwanaume na mwanamke wote waajiriwa hua zina migogoro sana. Nilishasema na nitasema tena mke apaswa kukaa nyumbani wakiwa na vijiajira hua wanakua natdharau, na dhihaka za mwendo kasi.
Kufikia kuua mke na watoto huyo mwanaume yalimfika hapa. NIONYESHE MWANAMKE MWENYE AJIRA ALIE MNYENYEKEVU KWA MUME WAKE NA MIMI NITAKUONYESHA MBUZI ANAETAGA MAYAI.
Nilimshauri rafiki yangu, "achana na huyo mwanamke" Bahati nzuri alinielewa na maisha yanaendelea!
Ilikuwaje?
Jamaa wanaishi mikoa tofauti na mzazi mwenzake, (japo wamezaa watoto 2 lakini hawana ndoa), kutokana na distance jamaa akaanzisha mahusiano na binti fulani kitaa, binti penzi likamkolea akaamua kumzalia jamaa mtoto! (Akalazimika kujitetea mbele ya mkewe kwamba ameteleza tu) mke akasema poa, maisha yaendelee!
Jamaa katika pilika zake, akabaini kwamba mkewe/mzazi mwenzake analiwa na jamaa mwingine Dom akafanya uchunguzi binafsi na kubaini kuwa kweli mke anagawa uroda kwa mwanaume mwingine, kumuuliza mkewe akawa mbogo!
"Sina mwanaume wa kunichunga, kwani una ndoa na mimi?, hauna cha kunibabaisha, kama una maamuzi ya kufanya yafanye tu! Kwanza unajiona na wewe kidume wakati kutwa kubwabwaja tu"
Baada ya hayo maneno na mengine mengi niliyoyasahau jamaa akapata moto, na kutaka kumfuata huyo mke anakoishi, nikamwambia "Kaka, achana na huyo mwanamke, utaishia jela, japo ulimkosea kwa kuchepuka na kuzaa nje lakini nakushauri achana naye, ni either atakuua au wewe utamuua yeye" bahati nzuri jamaa alinielewa, baadaye alijipatia mwanamke wa Kigoma huko akaoa chap, (mke/mzazi mwenzake akashangaa tu jamaa anapost picha za ndoa na mke mwingine) akaanza mikwara ya nakupeleka ustawi wa jamii, sijui mahakamani jamaa akauchuna kimya! Alichofanya ni kulipa ada za watoto basiii, maswala mengine mama yao anamaliza (si alisema hatishiki wala hababishwi kwa kuwa ana mshahara wake??)
Baadaye mke aliyeachwa, akanitafuta "Shem naomba ongea na rafiki yako, akumbuke tulikotoka, mm nilimsamehe na yeye angenisamehe kwa kumcheat, tulee watoto wetu, maana hata jamaa niliyekuwa naye Dodoma, alishaoa alisema hawezi kuoa mtu mwenye watoto 2, nimebaki na upweke wangu"
Baada ya kumaliza kujieleza meeengi nikamwambia, "Mimi pia nilimshauri aachane na wewe ili usimuue wala yeye asikuue wewe, hii ilitokana na namna ulivyokuwa unamjibu hovyo mumeo, na kuonyesha wazi kuwa hana maana tRNA kwako, kwa hiyo ujue tu, kwamba hata mimi rafiki yake nilikunusuru wewe na yeye msiuane, hayo mengine mnaweza kuyaongea wenyewe kwa sasa kwa kuwa hasira zenu zimekwisha" ila ukumbuke yeye ni mume wa mtu!
Baada ya hapo, alikuwa very down na alipoondoka HAKUNITAFUTA TENA! and I didn't care kabisa! Wakati fulani ni bora kuamua tu haijalishi maamuzi yana matokeo ya namna gani!
Issue inaanza ndani ya familia hasa wazazi,Kama ulikosea malezi au wewe/ninyi mlikuwa wazazi wa hovyo, basi hayo ndio matokeounazaa mtoto wa kike. unamlea. anaenda kuolewa na jinga kama hili anauliwa kikatili namna hii. inaumiza sana.
Ndio kwenye wanawake wanaojiheshimu na wachapa kazi.Kwahiyo huko makete na Katavi ndiko kuna wanawake wabaya?
Sawa usioeAlikuwa na akili huyo ndio maana alioa
Nabii Suleiman alikuwa na akili na hekima bado alipelekeshwa na hisia
Maisha haya,daaNimeangalia picha za hao Watoto nimebaki nalia tu moyoni. Huwa ni mtu ambae nikienda hospital na kukuta kuna watoto wanaumwa huwa nakosa raha kabisa.
Mkuu Comment ya sita hy unazungumzia swala hili nahisi kuna mengi unayajuaMagonjwa ya kiroho pia uchangia kuvuruga Jamii sana
Elimu ni pana.Mkuu Comment ya sita hy unazungumzia swala hili nahisi kuna mengi unayajua
Bila papuchi ungezaliwa mkuuDah [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wakunjombe nao kumbe Wana vituko ? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Yote hii Lisa papuchi
Alaaniwe aliyeleta papuchi