Mr Leo
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 604
- 1,269
Ponti dhaifu....kwanini naitakidi kuwa ni dhaifu?Wahamiaji hao,wanyakyusa hawana upuuzi wa kuuana
kwa sababu hayo ni maswala ya mtu na mtu na sio kujumlisha kabila zima au jamii nzimaa....watu hutofautiana uwezo wa kuvumilia mambo katika vifua vyao na sio kuwa watu wa jamii flani wanaweza kustahimil na watu wa jamii flani hawawezi.....
hata hizo jamii ambazo ni korofi ama zinanasibishwa na ukorofi wapo watu wake amabao kwamba wapo zaidi ya kind mkuu