Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakua na makengezaHuoni huyo mtoto wa kiume kamfanana sana baba yake, huyu muuaji Ni mpuuzi tu!!
Mkuu hii Si kweli, wewe Ni moja ya wanaume wanaodhani kuwa mwanamke ni Mali ya mme, ukiingiza dhana hiyo kwenye ndoa hata Kama utaoa a standard four woman lazima muachane, Mimi mke wangu Ni mtumishi, Sasa hivi tuna zaidi ya miaka kumi sijawahi hata kunyanyua mkono wangu kumpiga na wara hatuna Migogoro ndani ya familia yetu, Sasa wewe hii research yako ulifanyia wapi?Shida ya ndoa za mwanaume na mwanamke wote waajiriwa hua zina migogoro sana. Nilishasema na nitasema tena mke apaswa kukaa nyumbani wakiwa na vijiajira hua wanakua natdharau, na dhihaka za mwendo kasi.
Kufikia kuua mke na watoto huyo mwanaume yalimfika hapa. NIONYESHE MWANAMKE MWENYE AJIRA ALIE MNYENYEKEVU KWA MUME WAKE NA MIMI NITAKUONYESHA MBUZI ANAETAGA MAYAI.
Ukweli huu!!Tozo na mapenzi,maisha yamekua magumu mishahara ya walimu ni midogo,Kupanda kwa mishahara ipo kwa huruma ya wanasiasa.Kipato kikiwa kizuri magomvi hakuna
Usijiue,ninachofanya au cha kufanya,buni vyanzo vya pesa vilipo mazingira yakoUkweli huu!!
Hata mimi naomba mnishike nataka kujiua sasahivi!!
Alikuwa na akili huyo ndio maana alioaAngekuwa ana akili asingefanya hayo maamuzi.
Wenye akili hawapelekeshwi na hisia.
Shida ni kwamba wakati unaanzisha biashara ndo humo humo unapoteza!!Usijiue,ninachofanya au cha kufanya,buni vyanzo vya pesa vilipo mazingira yako
Pia inaonesha wa mgongoni sio wakeUNAOA MWANAMKE JANJA JANJA LAZIMA ULIE NA USIWE NA FURAHA DAIMA.
hiyo picha inaongea mengi. Mume hana furaha hata robo
Kitu watu wasichojua ni kwamba, ukionja flat screen hutoacha.Wewe flat screen tunatongozwa sana tu [emoji23][emoji23]
you're so smart......ni kweli ni dhana dhaifu sanaMigogoro ya Mke na Mume inawagharimu watoto ambao hawafahamu chochote.
Wangejimaliza wenyewe wakawaacha watoto.
Najua wanchofikiri wao wakishaaga Dunia watoto watapata tabu, hii ni dhana potofu