Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

Sasa Kilimanjaro utaifananisha na Wilaya ipi Mbeya?
 
Hivi wewe unajitambua kweli? Hata tajiri mkubwa wa Tunduma ni msukuma! Lodge kibao hapo border ni za wasukuma! Kwa ujumla Mbeya wasukuma wanakamata uchumi kwa sehemu
kubwa!
 
Huo umaskini wa watu wa kanda wa ziwa umeletwa na nan kama sio serikali yenu ya kijinga, watu wakanda ya ziwa wamekosa nini kila kitu wanacho rasilimali zao zinaenda kutengeneza sehemu nyingine, basi waachieni rasilimali zao tuone kama watakuwa masikini, chuki zako dhidi ya kanda ya ziwa zitaisha lini au ulishawahi kupigwa pumbu na ngosha akakuachia maumivu.
 
Achana na hilo shoga litakusumbua tu
 
Toka enzi ya Mkapa, viongozi ngazi ya Urais hawatembelei sana Mbeya.
Hii inaleta simanzi kwa wananchi wa mkoa huu.
 
Wale ni mda sana ndo maana wamefika pale natamani sana mkoa wety ungekuwa sehemu ya Zanzibar
NA SISI ZANZIBAR KILA UCHAGUZI TUNAWEKEWA MAMLUKI AWE RAISI,

Amri zote zinatoka Dodoma.
Tumeshindwa kuchimba Mafuta yetu mika 30 sasa, Tumeshindwa kutanua Bandari yetu eti kisingizio tutaua Bandari ya Dar.
Haturuhusiwi Kukopa mpaka Tanganyika Itowe Kibali,.
Zanzibar tumechoka Zaidi kuliko Mbeya na Mwanza.
Muungano umekuwa Zigo kubwa kwetu,
Tunataka Muungano wa Shirikisho. wa Serikali Tatu lakini FSM hawataki.
Mahasidi hawa.
wanafisidi kila kona ya nchi, mwisho watasababisha vita vya kujitenga.
Mimi Nasubiri Mwanza wakianzishe, na Mbea ifuate , sisi Zenji tumepoza kidoogo tu kuangalia Upepo.
 
Sasa nyie si mna njaa ndio maana mumekuja kwetu..

Sasa huko Mwanza kumejaa maskini tuje kufanya nini sasa?

Ndio mnaomba support ya wanaume sasa 😬😬
 
Nyie ni waskini,mnazaa hovyo,hamna akili hadi muwezeshwe kenge nyie.
 
Mimi mwenyewe na mtoto wa Ngosha hapa nitapigwaje mi dume, mtoto wa Lagangabilili
 
Hili wazo walikua nalo Chadema kama ingefanikwa kuingia madarakani 2020. Kungekua na utawala wa kizone. Ungesaidia sana kuinua mikoa iliyo nyuma kimaeendeleo na miji mikubwa ya sasa ingeendelezwa kisasa zaidi kuliko sasa hivi macho ya serikali yapo Dodoma na Dar.
Rais wetu bado haijulikani lini ataitembelea nyanda za juu kusini hususani Mbeya ambayo ndiyo inaibebe mikoa hii mingine.
 
Kiaje?
 
-Katiba Mpya, na Ilani ya CHADEMA ya 2020, miongoni mwa vitu ilivyosema ni kuleta serikali za majimbo na hayo majimbo yatapewa Uhuru wa kujitawala Kwa kuhakikisha kila Kiongozi anapigiwa kura na wananchi.
  • Rasilimali zinazopatikana kwenye Jimbo Mapato yake yanabaki kidogo kwenye Jimbo mengine yanaenda serikali kuu ili kulipa mishahara ya Watumishi,majeshi nk i.e Kama kumepatikana Bilioni 100, bilioni 30 zinabaki kwenye Jimbo husika ili kutoa Huduma Kama Afya, Elimu,barabara.
  • Serikali ya majimbo itaharakishà maendeleo kwa sababu Jimbo litapewa Mamlaka ya kufanya miradi pasipo kuisubiri Ikulu iamue.
 
Mlipoambiwa kanda ya kaskazini ijitawale mlilia sana,sasa mmeona kaburi linaota nyasi na yumkini jamaa kabaki...
Mbona mnarudi tulikotoka?Kutesa kwa zamu,sisi huku Makunduchini mambo swaafi.Upo?
 
Huwa wanaelewa taratibu mno(Slow learners,always).
Hivyo ndivyo walivyo Mkuu.Unakumbuka hoja ya Elimu,Elimu,Elimu bila malipo hadi University level 2015?
 
Alah,Alah mbona mawazo mabaya hivi,mmefikwa na Nini?
 
Unataka uivunje Tanzania?
 
Kwa nini usiwepo utawala wa majimbo (states) kama USA? Kila kanda itumie rasilimali zake, iwe na utawala wake na sheria zake alafu ndo kuwe na serikali ya shirikisho? Haya mambo ya mikoa naona kuna kanda zinanyonywa especially kanda ya ziwa[emoji35]
hii inch sio kubwa kiivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…