Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Sasa Kilimanjaro utaifananisha na Wilaya ipi Mbeya?Ukutaka kujua wilaya yenye mapato makubwa ushahidi wa kwanza itakuwa na halmashauri zaidi ya moja. kwa hyo kanda yenu nu Kahama, Tarime na Bunda tu. Tena 2 ziko Mara ambao hawana sifa za kishamba km wasukuma. Hata wilaya za mkoa Kilimanjaro bado zina mapato madogo hakuna hata wilaya moja ina halamashauri 2 lakini ukija kwenye sifa za kijinga watakuambia Kilimanjaro tumeendelea sana. Nchi hii sasa hivi kuna makabila mawili kwenye mitandao sijui wamelogwa na nani. Ni sifa za uwongo na za kijinga.