Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

Unasafirisha simba kama vile mbuzi?
kwanza walikuwa wametokea mbuga gani mpaka kufika hapo chimala!
 
Sasa kama familia yako haina maadili unadhani taifa ndo litakuwa na maadili kupitia katiba? Hao viongozi wanatoka ndani ya familia zetu hawajashushwa kutoka mbinguni.
Kama huna maadili, uliwezaje kupita kwenye venting?

Je, huoni kwamba mfumo mbovu unatoa fursa kwa watu wasio waadilifu kupata kazi kupitia connection, si kwa sifa wala uwezo?

Hii ndiyo sababu tunapaza sauti kuhusu katiba mpya ili mfumo uwe na mizania ya kweli, si ya mazoea na ukada.

Na kama kweli uadilifu ungetoka tu kwenye familia, basi tusingehitaji katiba, sheria, au taasisi za kusimamia maadili ya viongozi.

Lakini pia historia inaonesha wazi kuwa hata watu waliokuzwa kwenye familia nzuri wakifika kwenye mfumo mbovu, hujifunza kupiga, kuficha, na kukwepa uwajibikaji.
 
Kabla ya Saa kumi na mbili wanakuwa wamefunga ? Hata ukisema simba ni Nocturnal, lakini when it comes to life sio busara to take a risk....

Lions are not strictly nocturnal, but they are primarily crepuscular, meaning they are most active at dawn and dusk, and also nocturnal, hunting most often at night. This is because their excellent night vision gives them an advantage, and they can conserve energy by resting during the hottest part of the day
 
Venting ❌ vetting ✅. Huna maadili ndo maana hata kiingereza chako kibovu.
 
Unazani Simba ni Mbuzi kwamba anasafirishwa akiwa amefungwa kamba?

Hembu uliza vzuri mtoa taarifa zako
 
Venting ❌ vetting ✅. Huna maadili ndo maana hata kiingereza chako kibovu.
Tukubaliane jambo moja la msingi. Kosa la kuandika 'venting' badala ya 'vetting' si kiashiria cha 'kiingereza kibovu' bali ni kosa la tahajia (spelling) kwa Kiingereza, inaitwa spelling mistake

Kwa mfano wa karibu kabisa, hata kwenye kesi ya Tundu Lissu inayosikilizwa sasa MMahakamani, kuna makosa kadhaa ya maandishi yaliyofanyika kwenye nyaraka za kisheria.

Mahakama imeyaita slip of the pen. Na haijabatilisha mwenendo mzima wa kesi kwa sababu ya hayo. Hii inaonesha wazi kwamba kosa la spelling haliwezi kubatilisha hoja ya msingi, iwe ni kwenye mjadala wa mtandaoni au hata kwenye muktadha wa kisheria.

Sasa turudi kwenye hoja yenyewe:

Kama mtu hana maadili, aliwezaje kupita kwenye vetting? Je, huoni kwamba mfumo mbovu unatoa fursa kwa watu wasio waadilifu kupata kazi kupitia connection, si kwa sifa wala uwezo?

Na kama taasisi zenyewe hazina uwezo wa kuchuja watu kwa misingi ya uadilifu, si ni dhahiri kwamba tatizo ni la kimfumo, si la familia pekee?
 

Shida haiko huku chini shida iko huko huko juu anakotoka Mama yako
 
Mimi nilitaka kujua tu kwamba

Hivi Simba Wana weza Kula nyama ya mtu aliye kufa/mzoga
 
Hakuna spelling error hapo. Kama wewe mwenyewe ni mbishi kwa kosa la wazi kama hili vipi siku ukiwa kiongozi? utawapoteza wakosoaji wako wote. Mungu atuepushe na mtu kama wewe kuwa kiongozi.
 
simba hua hali mnyama anae kula nyama kama yeye
Unapotosha watu.
Simba akiwa na njaa anauwa na kula mnyama yeyote isipokuwa Simba mwenzie.
Mafuriko ya msimu uliopita kuna Simba alikuwa anamaliza mbwa na akapanda uzio wa nyumba (fence) ya watu na kumchukua mbwa.
Tafuta video YouTube ipo.
 
Wasafiri hadi mbeya waje kula wasindikiza mwenge kesho
 
Hii nayo ni story ila nafikiri haijaandikwa.
Prof. Jamie monson.

Kuna hiki kitabu kina elezea kina ubaga kinaelezea hofu na ajari za mamba , nyoka na Simba kwenye mapori ya selou, mikumi na ifakara..

KINAITWA..
“Africa’s Freedom Railway: How a Chinese Development Project Changed Lives and Livelihoods in Tanzania” — Jamie Monson (2009)
 
Pengine ndio wanatumika kama kwenye enzi ya nebkadreza kumemena watukutu
 
Shukurani sana mkuu. Nitakitafuta.
 
Nimeshangaa wachawi hawajatahadhalishwa maana usiku ni wao
 
Natamani kesho waje pale uwanja wa sokoine panapozimwa mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…