Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

Hata Shinyanga kuna muda fisi walikuwa wanakula watoto sana. Ukitegemea watu wa mali asili sikui wanyama pori utakwama. Sehemu yenye fisi hata wana kijiji wakijipanga vizuri wanaweza kuua wengi kwa kutumia vitu kama mitego na sumu japo wakisikia umeua wanaweza kuja na kugeuza kibao kwako.
 
Wa
Walikua wanapelekwa Zanzibar
 
Idara ya wanyamapori ni jipu. Wanathamini wanyama kuliko binadamu.
 
Hakuna spelling error hapo. Kama wewe mwenyewe ni mbishi kwa kosa la wazi kama hili vipi siku ukiwa kiongozi? utawapoteza wakosoaji wako wote. Mungu atuepushe na mtu kama wewe kuwa kiongozi.
Hivi unaweza kuniambia kwanini umekomalia hilo kosa la kiuandishi na kuacha hoja muhimu ambayo ipo mezani?

Neno venting ni neno halali kabisa katika lugha ya Kiingereza.

Kwa kuwa neno hili lipo kwenye kamusi rasmi ya Kiingereza, haiwezi kuitwa “Kiingereza kibovu” au kuchukuliwa kama ni big issue ya kufanya uache kujadili hoja ya muhimu.

Lugha ya kiingereza haikubali maneno yasiyo na maana (kiingereza kibovu) kuandikwa kwenye kamusi uwepo wake ni ushahidi wa uhalali wake.

Hata hivyo, katika muktadha wa mjadala wangu, neno lililokusudiwa lilikuwa "vetting" (hilo ulilonisahihisha) yaani mchakato wa kuchuja au kuchunguza kwa kina.

Katika uandishi wa lugha yeyote kosa la kuandika neno lisilo sahihi kwa muktadha unaokusudiwa hujulikana kama spelling mistake.

Kwa hiyo, kutumia venting badala ya vetting ni kosa la spelling, si kosa la kimaarifa. Ni kuchanganya maneno mawili yanayokaribiana kufanana kwa muundo wa herufi lakini tofauti kwa maana.
 
Acha kujitetea sana. Kama umekosea ungesema nakushukuru kwa kunisahihisha kisha uendelee na hoja yako. Nimekutingisha kidogo unakuwa mbishi halafu mnataka kukosoa wengine. Tenda unavyopenda kutendewa.
 
Acha kujitetea sana. Kama umekosea ungesema nakushukuru kwa kunisahihisha kisha uendelee na hoja yako. Nimekutingisha kidogo unakuwa mbishi halafu mnataka kukosoa wengine. Tenda unavyopenda kutendewa.
Hizo blah blah za kutaka kuhamisha mjadala ili kukwepa hoja ya msingi kupitia kivuli cha spelling mistakes haziwezi kunitoa kwenye focus ya hoja zangu ambazo hujazijibu.

Hoja zenyewe ni hizi.
  • Kama mtu hana maadili, aliwezaje kupita kwenye vetting?
  • Je, huoni kwamba mfumo mbovu unatoa fursa kwa watu wasio waadilifu kupata kazi kupitia connection, si kwa sifa wala uwezo?
 
Hakuna spelling mistake hapo. Hujui kiingereza mkuu. Hilo hata halina mjadala. Jitahidi uwe na misamiati mingi ya kiingereza kichwani. Kuwa muungwana kukiri unapokosea. Sioni sababu ya kujibu hoja zako kama unakosea kitu halafu hukiri. Wewe ukiwa kiongozi utapiga risasi wanaokukosoa
 
Ishu ni kukosea au kutokujua?

Je ni kweli sijui? Au najua ila nimekosea kama sehemu ya uandishi?

Na ishu hapa ni kukosea tu? Au kosa ni kukosea kwenye lugha ya kiingereza?

Actually, nacho kiona hapa ni mimi kukosea kwenye lugha ya kiingereza.

Sasa mimi nakuambia sio kiingereza tu, hata maneno ya kiswahili yapo mengi yananisumbua kuyaandika na kutamka, so kwakua wewe ni unemployed Teacher mbobevu wa Lugha ambaye umefungua darasa mtandaoni baada ya serikali yako kushindwa kuku ajiri, nakushauri jaribu kupitia post zangu nyingi utakutana na makosa mengi ya kiuandishi katika lugha ya kiswahili kuliko kiingereza.

Ila kwakua una mindset za kijinga na za kitumwa utayaona makosa ya uandishi katka lugha ya kiingereza ndio big issue kwasababu ya ile dhana ya ujinga ya kuamini kujua kuzungumza kiingereza kwa ufasaha ndio kipimo cha akili.
 
Wewe ni mtu mjinga sana unayelazimisha uonekane mwerevu. Unaandika gazeti refu pumba tupu. Kama hujui kiingereza wala kiswahili vizuri sasa unajua lugha gani? Huna uhalali wa kubishana na mimi. Wewe ni mtu mjinga.
 
Pili, ulivyosema 'jitahidi uwe na misamiati mingi ya Kiingereza kichwani' ni ushahidi mwingine wa kutokujua misingi ya lugha.

Nani aliyekudanganya kuwa na misamiati mingi kichwani ndio kipimo cha ufasaha wa lugha? Elimu ya wapi hii Sheikh?

Msamiati ni mkusanyiko wa maneno katika lugha fulani.
Lakini kujua lugha kwa ufasaha kunahitaji zaidi ya msamiati.

Kunahitaji mambo kama
  • Syntax (muundo wa sentensi)
  • Grammar
  • Pragmatics (matumizi sahihi kulingana na muktadha)
  • Cohesion & coherence (muunganiko wa mawazo)
Kwa hiyo, mtu anaweza kuwa na maneno mengi kichwani lakini akashindwa kuunda sentensi sanifu, fasaha, na yenye mantiki. Hilo ndilo kosa lako la msingi kwenye huu ukosoaji wako na majigambo ya misamiati mingi kichwani.
 
Usingeshindwa kujua tofauti ya VENTING na VETTING. Jitahidi uwe na misamiati mingi ya kiingereza ili kuepusha aibu ndogondogo. Unajua tofauti ya NIGHT na KNIGHT? Kajifunze.
 
Wewe ni mtu mjinga sana unayelazimisha uonekane mwerevu. Unaandika gazeti refu pumba tupu. Kama hujui kiingereza wala kiswahili vizuri sasa unajua lugha gani? Huna uhalali wa kubishana na mimi. Wewe ni mtu mjinga.
Hili pia ni kosa la kimjadala umelifanya ambalo liaangukia kwenye makosa ya kimantiki (Logical fallacy)

Nakukosoa nione busara yako ni ya kiwango gani pindi unapokosolewa.

Umetumia logical fallacy ya Ad hominem fallacy yani umeacha hoja na kuanza kumshambulia mtoa hoja
  • Unasema “Wewe ni mtu mjinga sana…” badala ya kujibu hoja. Hili ni shambulizi kwa mtu binafsi (ad hominem) badala ya kushughulikia hoja aliyoleta.
  • Katika mjadala wa great thinkers hoja hujibiwa kwa mantiki, si kwa matusi au kejeli. Kushambulia mtu hakubadilishi ukweli wa hoja yake.

Straw man fallacy. Hii pia ni logical fallacy nyingine ya kupotosha hoja halisi na kuanza kuijibu hiyo hoja iliyopotoshwa na kuacha hoja halisi ili ikupe wepesi wa wewe kuijibu
  • Unadai “Unaandika gazeti refu pumba tupu” bila kuonesha ni wapi hoja imekosea au kupotosha. Unajenga picha ya hoja isiyokuwepo ili kuipinga kwa urahisi.
  • Hii ni mbinu ya straw man kuharibu hoja ya mwenzako kwa kuipotosha, badala ya kuijibu kama ilivyo.
 
Q
Simba alikula mtego wa kiboko pale Selous,
Wakamlenga wakakosea walipiga bega katoroshwa.
Kulikua na majike pembeni wakamwokoa
Jamaa wametrack damu hawakumpata wakarudi camp.
Usiku Simba wakawa rundo pale camp siku mbili tulikua ndani tu kwenye mahema.
Wanaunguruma nje huko
 
Usingeshindwa kujua tofauti ya VENTING na VETTING. Jitahidi uwe na misamiati mingi ya kiingereza ili kuepusha aibu ndogondogo. Unajua tofauti ya NIGHT na KNIGHT? Kajifunze.
Kuonesha jinsi gani ulivyokuwa (sijui niiteje ujinga or something) anyway: mkosofu wa maarifa

Kwa nini kosa la uandishi katika lugha ya Kiingereza huwa mnalitukuza sana kiasi lichukuliwe kama 'aibu ndogo ndogo', lakini kosa hilo hilo likifanyika kwenye Kiswahili hamlianzishii bunge la kuanza kujadili umaridadi wenu wa kujua hiyo lugha?

Kingine, hebu niulize: Umelielewa sahihisho nililokupa kuhusu mtu kukariri misamiati mingi ya lugha bila kuwa na uwezo wa kuandika au kuzungumza kwa ufasaha?

Kwa sababu bado unaonekana kushikilia hoja kwamba kuwa na misamiati mingi kichwani ni kipimo cha maarifa ya lugha, jambo ambalo si sahihi.

Au nawewe hutaki kukubali kukosolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…