Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Kabisa, yeye alikuwa anawachana live bila kupepesa macho. Na hakuishia kwa polisi tu,alienda mbali mpaka kwa mahakimu na majaji wa mahakama kuu.
 
Labda aikuwa ananda kuwalipa Mafundi/vibarua.
Kwasasa kutembea na hela nyingi ni risk sana mkuu ,kazi za ujenzi unampa engineer mkuu au fundi mkuu ,jukumu la kulipa mafundi ni fundi mkuu ,wewe unamalizana na fundi kwa advanace kabla hata fundi kuanza,wewe unaenda site kuangalia maendeleo tu na si kuwalipa mafundi.

Kuna ndugu yangu nlimuagizia gari japan,nikaenda CRDB PPF Tower kwa ajili ya kutuma pesa ,kuangalia rate ya USD pale CDRB ilikuwa kama 1660 Tsh kwa 1 USD kununua ,ukienda pale Posta ssh amon mabango yanaonyesha wanauza kwa 1600 Tsh kunatofauti kama ya 60 Tsh ,kutuma japan ni USD 3600 ,Ukipiga mahesabu kutoka nje na 5.8m kurisk maisha na kusave 216K au kutransfer TT hapo hapo Bank? Nikaona ni bora kutuma CRDB humo humo ndani kuliko kusave 210k ,Fedha inatafutwa ila life likitoka ndio ntolee baba jane BYE BYE.
 
Badala ya kulaumu majambazi unamlaumu rais! Chuki zenu kwa mama Samia zitaisha lini? Unataka kutuaminisha kipindi cha huyo mjomba wako uhalifu haukuwepo? Roma, Mo Dewij na matukio ya maiti kuokotwa kwenye viroba ni kipindi cha utawala upi vile? Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu nalo hukumbuki? Usipokumbuka haya hakika utakuwa kiazi mviringo..!!
 
Kwa nini tunabeba cash,badala ya kutumia njia za kutransifa pesa,njia za kibenki,tigopesa,M pesa,Airtel money,Eazypesa T pesa?

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Huu uporaji wa kutumia silaha unaendelea kushamiri, kuna rafiki yangu ni mwalimu katika chuo cha NIT alijeruhiwa pia alipokuwa anatoka kutoa fedha katika ATM maeneo ya kijitonyama
Tunashindwa kutumia njia za muamala ya kibenki?Tigopesa,M pesa,T pesa,Eazy pesa,Airtel money,kulipana?

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Umenena maneno ya ukweli,kabisa.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Watu si mlitaka Uhuru wa kufanya kazi bila bugdha.?.
Sasa hivi na majambazi nao wamepewa Uhuru wa kufanya kazi zao.
Nadhani soon mzunguko wa Ela utaongezeka mtaani kwa Uhuru tuliopewa.
Kamanda Sirro, suspect mwingine huyu hapa. Kushabikia uhalifu ni uhalifu pia.
 
still jukumu la ulinzi wa ndani ni la polisi wanauchukua kodi. basi polisi wasiwrpo tujilinde wenyewe. ukiona watu wa nchi flani wanajilinda wenyew na polisi wapo, basi ujue serikali imefeli
 
mfumo gani unaotaka wewe? vyeo vya IGP, RPC, RC, DC, PC etc mfumo huo upo kama kawaida, tusaidie wew labda unataka mfumo gani
 
Ila bado changamoto ipo maana hata huyo inginia anahitaji cash ili amalizane na Mafundi/vibarua.....kwa hiyo lazima mzigo utoke Benki.
 
Lakini enzi ya kutembea na mahela mkononi bado ipo? Hela kwa sasa inatembea kwenye waya tu. Na kwa kawaida kama mtu ana pesa kuanzia milioni moja anaweza kuomba ulinzi wa polisi kwa malipo kidogo.
 
Kuna banker kauza ramani.
Wakati mwingine tunawasingizia banker sababu ntumishi wa benki anapata wapi muda wa kuwapanga majambazi wakati mteja ndio kwanza amechukua cash dirishani ...
Hawa wezi mara nyingi utakuta wanakua wanaijua hiyo safari ya huyo mteja benki hata siku moja au mbili kabla


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Uchunguzi uanze na officer aliyemuatendi Hapo bank , Majambazi Mengi yamo bank humo humo, jitu liko bank linakaa na Hela na linajua zikaapo, kwa nini usiibe humo humo hata ukifukuzwa potelea mbali, Sasa kuua ua watz wahangaikaji huku kunasaidia nini ?

Any way officers wengi wa mabank Huwa wanamagenge ya uporaji ,Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…