Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4


 
Kuuawa huyo mdingi au ujambazi unamuingizaje Magufuli katika hii mada? Maana naona watu tutamkumbuka tutamkumbuka! Acheni ushamba

Au ishu hizo kuna kipindi zinasimama kabisa zisijitokeze hata siku moja kiasi kwamba ikija kutokea iwe gumzo kiasi hiki

Au...!!!?
 
Kuandika kwenyewe hujui, unakaa standard seven material uliejifunza kutumia smart phone [emoji336], vijana bwana , tuna vijana wa hovyo sana nchi hii, ila nashukuru Mungu ni wachache kama wew
 
Jamaa alikua mwamba, aliwachezea watu 60M na wote tukaufyata, sio majambazi wasomi au wanasiasa. Wote ni mwendo wa kuimba na kuabudu. Kmmk dah
 
Tupo pmja kiongozi jamaa hta mm nilikuwa simkubali kbsa lkni kwenye ujambazi alifanikiwa kuwadhibiti Askari wake wasishirikiane na majambazi maana hili lipo wazi wezi ni hao hao Askari
 
Walizoea kipindi Cha kikwete kupeana michongo na majambazi si mwendazake akawaeleza kbsa namna wanavyoshirikiana nao wakaacha huo ujinga now wanaona bi mkola mpole wameanza kuturudisha kulekule mwendazake katika vitu nilimkubali jwa hili moja tu pumzika unapostairi
 
Je wale ambao wanapata Msamaha wa Rais kule gerezani ndiyo wanaostahili?.Maana naona kila inaptokea Msamaha wa Rais zinapita wiki mbili uhalifu unarudi kwa kasi sana .Tukumbuke kuna Msamaha wa 9december na 26 Aprili .
 
mkuu, JPM kauli zake tu majukwaani zilikuwa zinatisha. samia anapoongea na wananchi zile kauli hana. mfano kuhusu hili la ujambazi JPM aliongea live kuwaambia askari kwanini jambazi anapora na silaha alafu anafanikiwa kukimbia, kwanini msiwanyang'anye hizo silaha ' haraka haraka' tena neno haraka haraka akalirudia kama mara 3 hivi. alimaamisha jambaz lazima afe. sasa kama ww ni jambazi ukisikia hii kauli rais anaiongea live lazima uogope. kama tunahitaji kusikia maneno matamu kila siku haya ndio madhara. kauli za JPM ndio zilikuwa zinatulinda
 
Pia tukumbushane tu hivi kesi zilizofutwa hivi karibuni ni kweli za kubambikiwa au kuna vimeo nao vimetumia Mwanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…