Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Mimi nitakutafuta natumia totos02Mbona unaonewa sana na Darius RR wakati huyo jamaa kinabo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nitakutafuta natumia totos02Mbona unaonewa sana na Darius RR wakati huyo jamaa kinabo tu
Hahaha uje mapema muda akili ipo haiMimi nitakutafuta natumia totos02
Mi nilijua id ni ayubu nahisi kaona imepokea vipigo kaikimbiaKwahiyo we mwanaidi unatumia na I'd ya Ayubu kule. ..!?? Ukipigwa unakimbia na gagulo lako unabadili I'd.....hahaaaaa
Kama hivyo sawaNimechomoa zote mbili....
mtafute domo la mambaHabari zenu wana boni. naomba mtaalamu wa mchezo wa drafti atufafanulie/atufundishe copy za mchezo wa drafti kwa mifano ya picha.(majina maarufu ya kopi hizo kwa mujibu wa wikipedia ni hizi):
Natanguliza shukurani.
- samba
- sumu ya pandu
- mabano
- goma la kizee
- patasi
- kata mara mbili
- mbuzi kavimba
- tege
- bana mbavu
- chotara
- boz
Ndio ndo yeyeMi nilijua id ni ayubu nahisi kaona imepokea vipigo kaikimbia
Acha maneno kama maua tego..panda kitandaniKuna kopi inaitwa msitu wa amazon
Wewe tura nimekupiga goli mbili ukakimbia, baada ya kuzichomoa kwa tabu sanaKwahiyo we mwanaidi unatumia na I'd ya Ayubu kule. ..!?? Ukipigwa unakimbia na gagulo lako unabadili I'd.....hahaaaaa
Mbona ulikimbia kama ungeweza kumimili kishindo ungebaki,Nilikua nakupima kama utaweza kuzuia mafuriko na makalio..umeshindwa kulinda goli mbili...
Uyu Tula hamna uchawi pale, fundi tuWanga mmekutana.
Drati la pili ulikua unashinda akakupiga juju utake kubanana naye
Jamaa aliamua achape laba, baada ya kuona Nampa mashumbulizi ya hatariSiyo kakufunga mbili moja drafti la tatu ukayeya?
joining nowHahaha uje mapema muda akili ipo hai
Braza mi nashauri cheza sana na mtu anaitwa Darius RR huyu mpo level moja
We mamdogo huniwez
Ulivaa ovaroli na hela ya bikini nilituma
Njoo jumampemba miyeyusho.Hivi wewe unataka nikufunge magoli mangapi ili unipe heshima yangu!