Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Habari zenu wana boni. naomba mtaalamu wa mchezo wa drafti atufafanulie/atufundishe copy za mchezo wa drafti kwa mifano ya picha.(majina maarufu ya kopi hizo kwa mujibu wa wikipedia ni hizi):
  • samba
  • sumu ya pandu
  • mabano
  • goma la kizee
  • patasi
  • kata mara mbili
  • mbuzi kavimba
  • tege
  • bana mbavu
  • chotara
  • boz
Natanguliza shukurani.
mtafute domo la mamba
 
Ndio ndo yeye
Unakimbia sana

Screenshot_2021-07-06-11-28-09-58.jpg
 
Back
Top Bottom