Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Changamoto nayoipata kwenye hizi app za checkers ni kuwa sheria wanazozitumia zipo tofauti sana na mazoea tunayocheza mtaani. Mfano. Kwenye Dalmax king hawez kuruka vyumba. Je kuna namna ya kucustomize rules?

King anaruka.
Weka Tanzanian Rules ndio utaenjoi.

Difficulty: Weka 100%.
Ukimfunga DALMAX wewe ushajua danari na unaweza kupiga na yeyote!
 
Sio kweli....kuna copy dalmax amekariri....ukimjua hakufungi....kwa mfano akianza anaanza na kete ya major....hapo hanifungi ng'oo....nikianza mimi kete ya major ni sare....ila mchezo huo huo nikicheza na mtu mtaalmu ananifunga
 
Sa mbona unanikimbia wewe jamaa wakati mi nataka unifundishe
 
Back
Top Bottom